Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

MK254,

Kupitia kutangaza mataifa yanayoruhusiwa kuingia Kenya, tumeelewa vizuri kuwa hapakuwa na hali ya hewa wala tatizo la kiufundi, isipokuwa mlitafta sababu ya kukwepa mazishi mkiogopa corona.
 
Back
Top Bottom