Wajumbe wa kamati wa kamati kuu ya CHADEMA

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wadau,
Nimekuwa na hamu na shauku kwa muda mrefu kuwafahamu kwa majina na ikiwezekana kwa nyadhifa zao wajumbe wote wa kamati kuu ya CHADEMA, wachache ninaowafahamu ni Mtei, Bob makani, mbowe, zitto,kitila,marando,baregu,safari. Naomba mnitajie wengine
 
tembelea mtandao wa chadema utawapata wote!
 
Mtei,Mbowe,Ndesamburo,Lema,Komu,Owenya(viti maalum mtoto wa ndesamburo),suzan lyimo........masawe,kimaro!
 
Wadau,
Nimekuwa na hamu na shauku kwa muda mrefu kuwafahamu kwa majina na ikiwezekana kwa nyadhifa zao wajumbe wote wa kamati kuu ya CHADEMA, wachache ninaowafahamu ni Mtei, Bob makani, mbowe, zitto,kitila,marando,baregu,safari. Naomba mnitajie wengine
ili iweje thread zingine bana weka wa CCM kwanza unatuzingua bana for what?
 
Sijui nichangie nin, kwakuwa sijui lengo la topic. Napita na sirud tena.
 
Back
Top Bottom