Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wataka vitolewe vibali vya kulewa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Baadhi ya Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar, Wametaka Serikali ya Zanzibar kurudisha kibali cha kulewa ili kulinda Maadili yanayomomonyoka. Vilevile wamependekeza Bar zote na Madanguro yaliyo kwenye makazi ya watu yafungiwe.

Kwa upande mwingine Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameitaka Serikali ifike wakati na kuacha kuchukua mapato yanayotokana na biashara ya Baa na badala yake wabuni vyanzo vingine ikiwemo kufungua migahawa.
DSC_0790-768x509.jpg

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika kikao cha Baraza hilo kilichoanza leo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 
Baadhi ya Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar, Wametaka Serikali ya Zanzibar kurudisha kibali cha kulewa ili kulinda Maadili yanayomomonyoka. Vilevile wamependekeza Bar zote na Madanguro yaliyo kwenye makazi ya watu yafungiwe.

Kwa upande mwingine Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameitaka Serikali ifike wakati na kuacha kuchukua mapato yanayotokana na biashara ya Baa na badala yake wabuni vyanzo vingine ikiwemo kufungua migahawa.
View attachment 871134
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika kikao cha Baraza hilo kilichoanza leo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar
wanajenga nchi au msikiti!?
 
Huku Tanganyika wakifunga baa zote.na uchumi.unaanguka siku hiyo hiyo. Wanywaji wanachangia.kwa.kiasi kikubwa sana najeti ya serikali
 
Back
Top Bottom