Wajumbe kwenda kumuomba razi mzee Hassan N moyo wameanza kutayarishwa na kupewa somo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajumbe kwenda kumuomba razi mzee Hassan N moyo wameanza kutayarishwa na kupewa somo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Falcon, Aug 4, 2012.

 1. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wajumbe maalum walio tayarishwa kwa ajili ya kazi maalum ya kwenda Zanzibar na kuomba razi Mzee Hassan Nassor moyo, hii inatokana na kulifunuwa kombe badala ya kulifunika ili Mwana harasha apite yeye kalifunuwa na kuliwacha wazi, kufanya kwake hivyokumewaletea watu wengi wenye hata wale ubongo mzito nao kupata uwezo wa kufikiri.ijapokuwa kwa wenzetu wa mrima wengi wao bado akili zao zimeganda na falsafa za kambarage.
   
Loading...