Wajumbe 38 wa vyama vya siasa wakutana kujadili mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za kusajili vyama vya siasa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Wajumbe 38 wa vyama vya siasa wakutana kujadili mapendekezo ya mabadiliko ya sheria za kusajili vyama vya siasa, Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu asema hawakubaliani na utaratibu wa sheria zilizopo sasa.

 
Wasome vizuri mapendekezo hayo.
Then wakutane wao kwanza kuyajadili.
Mwisho wakutane na Msajiri/Serikali katika majadiliano.
Ikishindikana wawaalike wadau wengine wenye busara za kiuchambuzi.
Then warudi kwenye meza ya mazungumzo na mapendekezo wanayoona yanafaa katika kufanikisha uundawaji wa sheria hiyo.
That is very simple, kinachohitajika ni fund ya kuwezesha makutano hayo na kuwa na moyo wa kiasi kwa manufaa ya kizazi kijacho.
 
Back
Top Bottom