Wajue Wazalendo katika Nchi ya Kidemokrasia Vs Wanaoiweka rehani Nchi

Azizi Mussa

Verified Member
May 9, 2012
8,605
2,000
Wadau; leo sina maneno mengi. Kifupi tu ni kwamba mzalendo yeyote katika nchi ya kidemokrasia awe ni kiongozi au raia, huwa na mtiririko wa kimawazo na kiutendaji unaofua pyramid hiyo hapo chini.Ni jukumu letu kila mtu kujitahidi kuifuata ili awe mzalendo wa kweli

View attachment 128169

Mtu ambaye kakosa uzalendo katika nchi ya kidemokrasia, huipindua pyramid hiyo hapo juu na kuonekana chini juu kama inavyoonekana hapo chini;

View attachment 128172

Wanao fuata mtiririko wa pyramid ya chini na wabadilike kuhamia pyramid ya juu hapo mara moja ikiwa kweli ni wazalendo.

MCHANA MWEMA.
 
Kidzude

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
4,429
2,000
Wadau; leo sina maneno mengi. Kifupi tu ni kwamba mzalendo yeyote katika nchi ya kidemokrasia awe ni kiongozi au raia, huwa na mtiririko wa kimawazo na kiutendaji unaofua pyramid hiyo hapo chini.Ni jukumu letu kila mtu kujitahidi kuifuata ili awe mzalendo wa kweli

View attachment 128169

Mtu ambaye kakosa uzalendo katika nchi ya kidemokrasia, huipindua pyramid hiyo hapo juu na kuonekana chini juu kama inavyoonekana hapo chini.; View attachment 128172

Hypotheis yako ngumu. Labda tumtafute Lwaitama hapa maana tumezoea kuchangia vitu vilivyonyoka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom