Wajue watu wa Surma, hupasua midomo kama urembo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
IMG_20210813_134100_749.jpg

Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini

Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari

Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
IMG_20210813_134057_239.jpg
 
View attachment 1890859
Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini

Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari

Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
View attachment 1890860
Uafrika ni mzuri sana, ila kuna mila na tamaduni nyingine hazifai
 
mara ya kwanza nafika dar miaka ya 90 siku nilibaki peke yangu nyumbani,mchana walikuja kinamama wa kimakonde wamevaa kaniki nyeusi na wana chale kibao kubisha hodi,nakumbuka siku nzima sikuthubutu kutoka nje na niliweka viti na makochi mlangoni,....sasa ndio ukutane na domo kama hilikwa mara ya kwanza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom