Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Paul S.S, Oct 8, 2010.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Halima mdee na J mbatia, wanadaiwa kugawana kura na kumuacha ccm akipeta
  Hali kama hiyo ipo na ubngo, Mtatiro na myika
  Segerea mpendazoe hoi
  Kwa Zitto hali si shwari kabisa hadi anafikia kuilaumu cuf kusimamisha mgombea strong anagawa kura.
  Mrema alianza vizuri lakini sasa mambo yamemkalia vibaya sana vunjo
  Mtu mzima Mbowe anatumia nguvu nyingi sana lakini hadi sasa hali yake si ya uhakika
  Bwana lema mzee wa kigeugeu hapo arusha watu hawana imani nae kabisa sasa anatishia kuua.
  Tundu lisu ndio kabisaa hoi sgd.
  Mwenye taarifa zaidi aiweke nawasilisha
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,053
  Trophy Points: 280
  upenzi
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  this man is desperate
   
 7. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  JK anapumulia mashine... mikoa 18 Slaa anaongoza kwa mbali ...
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkubwa uko ikulu kabisa... yani umeweka safi sana.... nasubiri hoja zko nyamagana, ubungo, kinondoni, moshi mjini, arumeru mashariki na magharibi, babati mbulu, chakechake nk
   
 9. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  masikini!! Hawa ndio chadema mwaka huu ndio kifo chenu na kuzimu ndio destination!!!
   
 10. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumieni shule zenu vizuri msijelaumiwa na watukuu wenu kwa utando, buibui
   
 11. M

  Mayu JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Unauhakika gani na uliyo yaandika? au unaleta upenzi na ushabiki usio na tija
  in short karibu wote ulio wataja wanachukua majimbo hasa Mbowe ccm hawalali jinsi anavyokubalika jimboni,
  acha unafiki ndugu
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mayu
  Hakuna habari ya unafiki hapa, kama wewe ni mkaazi wa Dar hebu fikiria nguvu ya Mtatiro, nakisha ya Mnyika upande wa ubungo, niwazi watagawana kura tu,
  vipi kuhusu Mbezi kwa Mdee na Mbatia
  mkuu hizi ni taarifa zilizo fanyiwa kazi na sio uzushi kama unavyo weza fikiria
   
 13. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo funga mabano then negate kitu uone mambo yake. Negate means kinyume chake, kama ni moja inakuwa zero, na kama ni zero inakuwa moja.
   
 14. Mfikiri

  Mfikiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 592
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  maandishi yamepangika.........japo mambo bado ni magumu sana si kama uonavyo.......
   
 15. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nilitoa mchango wangu hapo jana kwenye mada fulani iliyoanzishwa na Zawadi,,, nikasema haya haya,,,
  Sote tunaelewa kilichopo hivi sasa Chadema ni kujipa moyo tu hasa katika Majimbo
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Lets wait and see
  mkuu nasikia Tarime nako kumebana mbunge aliyemaliza muda wake na kuhamia CUF bada ya matokeo yake kuchakachuliwa anawakimbiza vibaya chadema na CCM
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pumba
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Crap
   
 19. P

  Paul S.S Verified User

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ulizia vizuri uambiwe ya Tarime watu bado wanamkubali sana jamaa swahiba wake Wangwe
  Mkuu jifunze tu kuukubali ukweli kuwa hapa Dar upinzani umekaliwa vibaya, naamini kungekuwa na utaratibu wa kuachiana basi Mtatiro angemuachia Myika Ubungo. Na Mdee angemuachia Mbatia Mbezi
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tare 31 ndio tutajua nani ni nani?
   
Loading...