Wajue Wanaume Waanzilishi Wa Kuvaa Suruali Chini Ya Makalio

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,462
21,945
Wanaume wavaa suruali chini ya tako walianzia kwenye jela za Marekani ambako wafungwa waliokuwa tayari kufanya mapenzi na wafungwa wenzao walibuni huo mvao kama ishara kwa wahitaji (wafungwa wenzao) ambapo ingeonekana bila kutambuliwa na walinzi wa gereza ili wasipate kugundulika.

Kwa kuonyesha sehemu ya matako yao, walimaanisha kwamba walikuwa tayari kuingiliwa na wafungwa wenzao kinyume na maumbile. Na waliingiliwa haswaa.

Kwa hapa Tanzania sijui ni nani aliyeasisi huo uvaaji, Ila watanzania wengi wanapenda sana kuwaiga wamarekani.

Kwa hapa nchini ukiona mwanaume amevaa suruali chini ya tako sikulazimishi uamini kuwa huyo ni shoga anayetafuta bwana wa kumwingilia.

Tambua tu mashoga wapo ndani ya nchi yetu na wanazidi kuongezeka sana Tanzania.

Mungu okoa wanaume wa Tanzania.
1674918325489.jpg
1674918309480.jpg
1674918296488.jpg
1674918280384.jpg
 
Huu uvaaji wa suruali chini ya matako ni fasheni tu mtu aonekane ni muhuni, haimanishi kutaka kuingiliwa. Ni sawa na wale wanaotoboa masikio na pua. Vijana hupenda kuiga mivao ya kihuni inayovaliwa na mastaa duniani bila kung'amua nini maana yake. Ndio maana hata wanawake sasa hivi wanavaa skini taiti na visuruali vya kubana mapaja na matako wanajisikia vema na wao wanapendeza kama mastaa wanaowaiga mivao
 
Tabia ya kijinga sana hii,kuna watu unakuta kijana mzima na kipara kimeanza anavaa mlegezo,boksa inaonekana ili iweje?
Uvaaji wa Pascal Wawa. Unamkuta amevaa vizuri tu jezi ila bukta anaishusha mlegezo Hadi unajiuliza huyu jamaa mbona angevaa vizuri bukta angependeza badala yake ameshusha amekuwa Kama ana busha.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wavaa suruali chini ya tako walianzia kwenye jela za Marekani ambako wafungwa waliokuwa tayari kufanya mapenzi na wafungwa wenzao walibuni huo mvao kama ishara kwa wahitaji (wafungwa wenzao) ambapo ingeonekana bila kutambuliwa na walinzi wa gereza ili wasipate kugundulika.

Kwa kuonyesha sehemu ya matako yao, walimaanisha kwamba walikuwa tayari kuingiliwa na wafungwa wenzao kinyume na maumbile. Na waliingiliwa haswaa.

Kwa hapa Tanzania sijui ni nani aliyeasisi huo uvaaji, Ila watanzania wengi wanapenda sana kuwaiga wamarekani.

Kwa hapa nchini ukiona mwanaume amevaa suruali chini ya tako sikulazimishi uamini kuwa huyo ni shoga anayetafuta bwana wa kumwingilia.

Tambua tu mashoga wapo ndani ya nchi yetu na wanazidi kuongezeka sana Tanzania.

Mungu okoa wanaume wa Tanzania. View attachment 2498497View attachment 2498498View attachment 2498499View attachment 2498500
Sources of ur information usituambie ni google kaka🤣🤣🤣
 
Kuvaa kata-k aio vizuri lakini hio stori ni uwongo na ya kijinga sisi sio watoto

Pili kata-k hapa TZ haipo kwa huo ukubwa malanyingi hutajwa inapozuka mada ya mavazi hili kubalance jinsia zote mbili unaweza tembea namguu kutoka kongowe ya mbagala mpaka kibaha ukaenda mpaka tegeta na usione mtu hata mmoja aliyevaa kata-k ila unahutaji kutembea mita 200 tu utaona mwanamke aliyevaa vibaya so kata-k hutajwa ku-balance ujinsia kwenye masuala ya uvaaji mbaya
 
Back
Top Bottom