Elections 2010 Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK

I urge shadow to get more serious and either change the title or provide a list... things like these discourage some of us and may not be very useful tunaonekana kama wadaku

otherwise, iende jukwaa ja jokes na utani

hakuna "slow release ya dose" --- provide the list with justified usomi kwa watu hao thelathini uliowataja....otherwise mods can just do the needful
 
Shughuli kama hizi Shyrose Bhanji hawezi kosekana!

Vipi Ms. Makamba wa TVL? kanda ya Bumbuli et al atakuwa amepangiwa huko! manake naye anayaweza hayo huku akiwa amebeba vifurushi vya 'zawadi jamii' kutoka VTL
 
I urge shadow to get more serious and either change the title or provide a list... things like these discourage some of us and may not be very useful tunaonekana kama wadaku

otherwise, iende jukwaa ja jokes na utani

hakuna "slow release ya dose" --- provide the list with justified usomi kwa watu hao thelathini uliowataja....otherwise mods can just do the needful

no malice intended though... but i am desperate to know the list of wasomis thelathini.. labda nimo humo... LOL
 
Hemed Maneti aliimba 1982-Mkutano Mkuu wa UVCCM:

Mwalalamika pembeni,
Hatupwi madaraka,
Huku nyumanyuma mwajiweka,
Mtamwongoza nani nyie?

Mwenyekiti kasema(Nyerere...my own input),
Vijana tuzishike hatamu,
Tushiriki kwenye chama,
Tuongoze kila kitu chote,
Kwa mwongozo wa chama,

Akapewa ujumbe wa NEC for that.......Komba was next for his lyricals.....sasa hawa wanaletwa na wazazi wao....na wao wataleta watoto wao...
 
no malice intended though... but i am desperate to know the list of wasomis thelathini.. labda nimo humo... LOL

No worries Mkuu De Novo,

So far tumepata hawa hapa:


1. Ridhwani Kikwete
2. Amir Madega
3. Rajabu Katunzi
4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
5. Benno Malika
6. V. Mzindakaya
7. Vicky Makata
8. Bashe
9. A. Nchimbi
 
No worries Mkuu De Novo,

So far tumepata hawa hapa:


1. Ridhwani Kikwete
2. Amir Madega
3. Rajabu Katunzi
4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
5. Benno Malika
6. V. Mzindakaya
7. Vicky Makata
8. Bashe
9. A. Nchimbi

Hao wote ni watoto wa vigogo, right?
Da! kama ufalme flani hivi.
 
No worries Mkuu De Novo,

So far tumepata hawa hapa:


1. Ridhwani Kikwete
2. Amir Madega
3. Rajabu Katunzi
4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri
5. Benno Malika
6. V. Mzindakaya
7. Vicky Makata
8. Bashe
9. A. Nchimbi

Usomi wao je?
 
hao watakuwa masago ya kuchomea baba zao wakati ukifika,ni jambo la kusubiri[bado kitambo kidogo]
 
Kumbe,sasa huyu dada anahesabika kama msomi au family friend wa familia ya JK?naona ameamua kuwatumia jamaa zake ...nimefarijika kidogo!
 
Hakuna wasomi hapo; ni watoto wa vigogo. Sishangai watoto hao kwani wanafanya wanachokijua yaani ufisidi wa wazazi wao usijulikane. Nawashangaa hawa watoto wa maskini wasio na kitu zaidi ya umasikini wanapokuwa kimbelembele kushabikia watoto wa wakubwa. Ni vituko vitupu. Tuwaambie ukweli kwamba wanajikangaa kwa mafuta yao kwa kushabikia viongozi wa CCM NA JK;

Ni matokeo ya ukoloni wa CCM;
 
Hivi Zile fedha alizo kopa Mzindakaya kwa ajili ya Kiwanda chake cha nyama kisharudisha?
 
Hapa ndo huwa namshukuru mungu kupitia kwa mwl. nyerere kwa kutupa elimu bure. Hata anipe mshahara gani siwezi fanya kazi ya kike namna hiyo
 
halafu magharasa hayo hayo ndo yatapewa ubunge wa kuteuliwa .......Tanzania bwana?? ....acha tu.
 
Back
Top Bottom