Wajue mabinti wa kimbulu(wairaq) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajue mabinti wa kimbulu(wairaq)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mwelewa, Feb 11, 2011.

 1. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,316
  Likes Received: 2,533
  Trophy Points: 280
  Habari wakereketwa wa JF!

  Leo nimeona niwajuze machache kuhusu hili kabila la wambulu(wairaq) hususani mabinti yani tabia zao, wawapo katika uhusiano na kadhalika!

  Kwanza mabinti wa kiiraq asilimia kubwa ni weupe kwa maana ya rangi ya ngozi zao, kwa upande wa nyele(za kichwani) sio siri wamejaliwa kwani ni laini, ndefu na zinazong'aa hususani ukutane na yule ambaye hajachanganyika na kabila jingine.

  Mabinti wa kimbulu si wafupi kwani utafiti niliofanya nimegundua kuwa wengi ni warefu japo si sana ila kimo chao wengi wanavutia!
  Kwa upande wa sura ni wazuri sana tuu, ila wengi hawana maumbo ya kibantu(namba nane) na kwa upande wa makalio ni kawaida si kama wale wa kitanga au kwingine waosifika kwa makalio ya haja!Huo ndio muonekano wa hawa dada zetu wa kimbulu ki maumbo!

  Saa acha nikujuze kuhusu mtazamo wao wa maisha ya mapenzi japo siwezi kuwa sahihi aslimia mia moja ila nitakuwa nimepatia kiasi fulani!

  Wengi wao wanapenda sana kuna na mpenzi wa kabila lao, na hii inasababisha walio waoa mademu wa kiiraq halafu wakaenda nao mjini na ikitokea wakakutana na mtu wa kabila lao huku jua upo uwezekano mkubwa ukaibiwa kiurahisi sana!

  Si wavumilivu wa mambo hususani pale kukiwa na financial problems jua uwezekano wa kukimbiwa ni mkubwa sana, kamahii haitoshi madem hawa wanasifa ya kupenda sana madereva wa magari ya tours companies (hapa bado nachunguza nijue ni kwa nini) maana nimegundua kuwa asilimia kubwa ya hawa mabinti wanamegwa na hawa jamaa!

  Na kunako majamboz wengi wao hawana mbinu za kiuchokozi kama yale makabila ya pwani kwani unaweza maliza dakika 90 bila kupewa ushirikiano unaostahili.

  Ndugu zangu hao ndio mabinti wa kimbulu aka wairaq.

  Note: kama unatafuta demu mwenye sura nzuri tena natural basi hawa wanafaa sana ila kwa upande wa uaminifu na uvumilivu majibu ni hayo hapo juu!
   
 2. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  safiii duh! Wanachakachuliwa na madereva duu!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha!aisee kuhusu ishu ya kumegwa na madereva tours ni kweli.
  Mimi ninaye muiraq nywele laini,sura kali but kila siku ninaishi kuhofu,naogopa kumegewa
   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mwelewa!
  kwenye utafiti wako ungeanzia na jina la kabila. Linaandikwa IRAQW na sio IRAQ.
  Wairaq ni wananchi wa Iraq kule alikokuwepo Marehemu Saddam.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tehetehe na wanagwa kweli kweli hawa wadada nawajua saaaaaaaaaana
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Thread hizi za kujadili makabila zinanipa tabu kwelikweli kujua tija yake...nadhani watu huishi na kurespond maisha yanayowazunguka na si vinginevyo,usitegemee masai akala ndizi wakati halimi migomba
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ila kwa sura ni wazuri.
   
 8. k

  kazuramimba Senior Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kabisa sura na nywele kiukweli wamejaaliwa kama malaika nimedata kwa kamoja cmcheso aisee babangu.
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh, ninao wengi sana hapa Namanga Arusha, ila sema wengi wao ni chakula cha madereva wa maroli ya masafa marefu na wanajali sana fedha
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  mi napenda lafudhi, afu hivi hawa asili yao ni wapi, ona hata majina ya maeneo yao yalivyo, mf. hanang, katesh, nk. na hata vitu kama nywele zao.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Inasemekana eti asili yao ni Iraq....
   
 12. I

  INROSHA Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdau mimi nipo huku mbulu kwenyewe wanapotokea hawa warembo yani usumbuki kutongoza ila tatizo hawana ushirikiano wakiwa uwanjani na uclogwe ukaoa mbulu utajuta,watu watakumegea kwani hawawezi kabisa kukataa mwanaume anapomtongoza hata kama kaolewa na pete kavishwa
   
 13. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Kwa sura ni wazuri lkn warangi kutka kondoa wamezidi uzuri.kuhusu ushirikian ni makabira mengi hap tz yana tatizo hilo.
   
 14. TZ yetu

  TZ yetu JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 369
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  mi cna tatizo nao ila mechi sasa..
   
 15. k

  kasiasa Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  ngoja nitafute na mimi nijionee mwnyewe..ngja nikakate tiket kabsa wapi wanapatikana?
   
 16. O

  OBOTE Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  manyara ndipo wapo kwa wingi
   
 17. u

  upendom Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mna mpango gani kusema sie hatujui majamboz?tuacheni wenzenu tule maraha,utatuoa unavyotuchomea huku JF?TUNAPATA WATU HUKUKU BANA.usituaribie soko tafadhali.
   
 18. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Wadigo ndo mpango mzima, full ngongingo.!
   
 19. N

  Nzenga Member

  #19
  Jan 3, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabia ya mtu si kwa kabila zima jamani ni sawa na kusema msukuma kaz yake ni kuchunga ng'ombe ila ukweli sio hivyo na wafanyabiashara,wafanyakazi wapo tena wengi tu.
   
 20. Mfikiri

  Mfikiri JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 592
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ENDASAK, ENDAGAW etc
   
Loading...