Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

Kwa hiyo unaamini Watanzania wote ni wanachama wa CCM? Yakupasa kutumia vema ubongo wako

Vv
Nimesema iko kila kona. Ina matawi kila kijiji kila mtaa ina watu kila ofisi TZ unaanzaje kuishinda kwa sera za kianaharakati?? Ndiyo maana nikasema mtumie ubongo wenu mliopewa na Mungu. Msomi mzuri ni yule anayetumia elimu yake aliyopata kuyaelewa mazingira anayoishi. Lakini bahati mbaya sana upinzani wa TZ haujui.
 
Huyu ni Anna-Claire Shija, Mkurugenzi (DED) wa Halmashari ya Wilaya ya Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Majimbo ya Same Mashariki na Same Magharibi. Mwaka 2015 Anna-Claire Shija aligombea na alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM katika jimbo la Sengerema. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa Wakurugenzi (MaDED) kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ndio #PumziYaCCM

Bila hawa CCM haiwezi kushika hata nafasi ya 4

#NEChuru
#WaTZsiWajinga
FB_IMG_1557923344867.jpeg
IMG-20190515-WA0126.jpeg
IMG-20190515-WA0120.jpeg
IMG-20190515-WA0119.jpeg
IMG-20190515-WA0118.jpeg
IMG-20190515-WA0114.jpeg
IMG-20190515-WA0112.jpeg
IMG-20190515-WA0111.jpeg
IMG-20190515-WA0110.jpeg
IMG-20190515-WA0109.jpeg
IMG-20190515-WA0108.jpeg
IMG-20190515-WA0079.jpeg
IMG-20190515-WA0080.jpeg
FB_IMG_1557938019270.jpeg
FB_IMG_1557938016638.jpeg
FB_IMG_1557923340349.jpeg
 
Kazi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ni zaid ya kusimamia uchaguzi

Uchaguzi ni kisehemu cha kazi kati ya kazi nyingi sana

Mbona kuna maeneo mengi tu Wapinzani wameshinda mpaka wameongoza Halmashauri na Majiji
 
Ila kiukweli hii ni aibu ya karne yaani ccm inatumia hila za ajabu sana ili tu kuwa demokrasia nchini mkulu hebu ona aibu japo katika hili.
 
Nimesema iko kila kona. Ina matawi kila kijiji kila mtaa ina watu kila ofisi TZ unaanzaje kuishinda kwa sera za kianaharakati?? Ndiyo maana nikasema mtumie ubongo wenu mliopewa na Mungu. Msomi mzuri ni yule anayetumia elimu yake aliyopata kuyaelewa mazingira anayoishi. Lakini bahati mbaya sana upinzani wa TZ haujui.
Kuwa na tawi kila kata au kijini sio ishara kuwa unakubalika. Wakati wa uchaguzi vyama vinashindana kutundika bendera na kufungua vijiwe na matawi ili kuwaamimisha wajinga kuwa vinakubalika. Kuna sehemu hivyo vyama vilishindwa uchaguzi wakati matawi na bendera zao ni nyingi kuliko wapinzani wao!

Vv
 
Chakubanga Mganga njaa hana alijualo mbwembe zake kwenye tume ya Warioba kumbe ulikuwa unafiki tu hivi ni nani wa kuaminika nchi hii??wanasiasa ndio hao,wanataaluma ndio kabisaaa,wanajeshi nao disaini ya Mabeyo nae anataka sasa tutafika kweli??
 
Chakubanga Mganga njaa hana alijualo mbwembe zake kwenye tume ya Warioba kumbe ulikuwa unafiki tu hivi ni nani wa kuaminika nchi hii??wanasiasa ndio hao,wanataaluma ndio kabisaaa,wanajeshi nao disaini ya Mabeyo nao wanataka siasa tutafika kweli??
 
Back
Top Bottom