Nimesema iko kila kona. Ina matawi kila kijiji kila mtaa ina watu kila ofisi TZ unaanzaje kuishinda kwa sera za kianaharakati?? Ndiyo maana nikasema mtumie ubongo wenu mliopewa na Mungu. Msomi mzuri ni yule anayetumia elimu yake aliyopata kuyaelewa mazingira anayoishi. Lakini bahati mbaya sana upinzani wa TZ haujui.Kwa hiyo unaamini Watanzania wote ni wanachama wa CCM? Yakupasa kutumia vema ubongo wako
Vv