wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

kwanza watapigwa danadana na mapedeshee mpaka basi,yaani hawa wanaigiza ili apate soko basi hakuna lingine.
pamoja na kuwa na wao wana kashfa zao lkn bwana elimu inawasaidia maana wengi wao wana spirit ya kijasiriamali ile mbaya!wanautumia vizuri majina yao kama brands,wengi wao wana vitega uchumi vya maana na wanamaisha mazuri.sio hawa wetu ukikuta ana kagari basi hata sehemu anayolala ni majonzi na hawa wetu wakipigika ni wanapigika maana elimu hana na hawezi kufanya kitu kingine zaidi ya kuigiza!
 
FL mie si mshabiki sana wa hizi movie ila huyu mdada kwa kweli ananivutia sana na naipenda kazi yake;
dsc_0084.jpg

Omotola Jalade Ekeinde (1978- ), also known as Omosexy, is one of the top actresses in Nollywood, the Nigerian film industry. Known all across English-speaking Africa and beyond, only Genevieve Nnaji clearly outshines her.She is probably best known for "Blood Sisters" (2003), "The Prostitute" and, the film that made her name, "Mortal Inheritance" (1996). She has been in more than 250 films. Most Nollywood films are cheap, straight-to-video affairs.In American terms she is sort of like Toccara Jones with the acting talent of Uma Thurman.According to this blog, she is the second most beautiful Nigerian actress. I would watch a film just because she was in it. She is one of those women that it is hard for me to take my eyes off of. She has an amazing body, a full African figure. Her eyes seem a bit small and far apart, but I love her face all the same.

Especially her mouth and the way she moves it.Her beauty is even more amazing when you consider that she has had four children. She had them pretty early so it was easier for her to get back to her old shape. But now that her body knows a larger size, she has to fight it, exercising every day (walking) and watching what she eats (plenty of fruit, turkey and chicken without the skin).She says the secret to being beautiful is to love yourself. Get that right and all else will follow.It was easy for her to get into film: not only is she beautiful but she has natural acting talent, making characters come to life. Producers wanted her in their films!In the early days her mother stopped her from taking certain parts: she was a strict Christian and brought up Omotola that way. It seems to have stuck with her. For one thing, Omotola has been married to the same man for 12 years. That is a long time for the Nollywood set.Her father, the manager of a Lagos country club, died when she was young. It made her more serious than most. It also made acting possible: her father would not have allowed her to act, but with him gone they needed the money.Omotola is Yoruba, but speaks English as if it was her mother tongue. Maybe it is.In 2006 it was discovered that film producers were paying her and other top stars huge sums of money. So they were not allowed to act in any films for a year.

Some thought Nollywood would fall, but it made it through. In the meantime Omotola went into singing. She came out with one album and in 2008 is working on her second. Her first one was not so great.Like Angelina Jolie, Omotola is a goodwill ambassador for the United Nations. They sent her to Sierra Leone and Liberia, two countries torn apart by war. The people there have seen her films and love her.
 
Ok.Na kuhusu elimu je? nayo ya kuungaunga kama TZ?
Elimu zao kwa kweli ni ngumu kusema. Ila ukweli ni huu kuwa jamaa wako mara 4 ya idadi ya Watanzania. Shule huko ziko za aina kibao. Nyingi zipo kihasarahasara. Ni watoto wa wachache tu ambao wanasoma shule za maana.

Hii itatokea Tanzania siku chache zijazo kama mambo hayatashughulikiwa mapema. Kama wewe ni muajiri na akaja Mnigeria, mwambie wala asitoe hayo mavyeti yake maana utaanguka yalivyo mengi. Mwambie amwage mezani madudu yake yaliyo kchwani. Ukimuona anafaa basi wewe mchukue.

Kwenye ucheza film nafikiri zaidi ni kipaji. Sydney Poitier hakuwa na shule ya maana. Chris Rocky ndiyo kabisaa na hata huwa anakiri kwa hilo. Ila wamekuwa wachezaji wazuri sana duniani. Sasa hawa madada, kama wanajitahidi kuongea Kiingereza safi na wanacheza vizuri, basi hizo elimu zao wala hatuzihitaji. Ila yaleyale ya Tanzania, mie ni Dr, mie profesa. Ukimuuliza kitabu au makala gani hivi karibuni kaandika, hakuna. Sasa kweli wee ni Dr/profesa gani?
 
Mfukunyuzi huyo dada Omotola nampenda pia ukiingia kwenye web zao utakuta wamanshindanisha na kina Rita Dominic na Genevieve pia napenda sana maendeleo yao

"i wil contenue to vote for omotolani millions of time because she is a mother of three kids and still looking as sweet 16 she is an angel pls this is natural beauty. i love her so much with the way she mantain it
smiley.gif

Kumbe tena ana Kids watatu ..safi sana
 
Kuna kijana nilishakutana naye, wala huwezi amini ni Mnija. Kijana baba yake ni Mwana sheria na nafikiri amekuwa katika mazingira ya shule zaidi ingawa ni katikati ya Lagos. Nilitegemea akisoma basi walau Kiingereza chake kiwe kimeenda shule ila hawa hamna kitu.

Kibaya zaidi nisichokipenda Shem kutoka kwa hawa watu ni pale kuwa mwezi uliopita alisema yeye ni anatoka Nigeria, na leo anasema kakosana na fulani: "I will show him who i'm. You can't just mess up with a anapojisahauJamaican and you go away with it....."
Hapo unashangaa, hee, mwenzangu leo kawa "rejected USA slave." aka Jamaican.

mmmh wanakuwa wanaficha nini
why are they ashamed of their identity shem?
 
Mfukunyuzi huyo dada Omotola nampenda pia ukiingia kwenye web zao utakuta wamanshindanisha na kina Rita Dominic na Genevieve pia napenda sana maendeleo yao

"i wil contenue to vote for omotolani millions of time because she is a mother of three kids and still looking as sweet 16 she is an angel pls this is natural beauty. i love her so much with the way she mantain it
smiley.gif

Kumbe tena ana Kids watatu ..safi sana

and that innocent look on her face mmh....!!!
 
kwa kweli hata mimi hawa wadada huwa wananifanya niache kila ninachofanya nikiona movie yao kwenye runinga. siachi kuwaangalia. wanaijua sana kazi yao, naona hii ni kutokana na elimu walizonazo. Wanatisha sana
hawa wadada hata kama ni make-up wanajua kuzipaka, mpaka uwe mtaalamu kama PJ ndo utagundua hiyo ni make-up
 
Mfukunyuzi huyo dada Omotola nampenda pia ukiingia kwenye web zao utakuta wamanshindanisha na kina Rita Dominic na Genevieve pia napenda sana maendeleo yao

"i wil contenue to vote for omotolani millions of time because she is a mother of three kids and still looking as sweet 16 she is an angel pls this is natural beauty. i love her so much with the way she mantain it
smiley.gif

Kumbe tena ana Kids watatu ..safi sana

ni kweli omotola ni mkali,na mie nampa big up sikujua kama ni mama na wanae,kama ni kweli ana 40 basi ana mwili mzuri jamani!
huwa namfananisha na huyu wa avatar yako
model_daveilla5.jpg

omo.jpg

same innocent look!
 
tetetete Cheusimangala unaweza kuta mie ndo omotola ..hiki Kiswahili ni Lugha ya kujifunza tu ..ila ni mrembo sisi ukizaaa vitoto vitatu unachoka Kongoroka kwisha habari yako

Nitajimake hata nikifikisa 60 kwa kudara za mungu:)
 
nimeipenda hiyo!inawezekana kabisa!unajua huitaji pesa ili kudumisha urembo,halafu sisi ndozi nyeusi hatuzeeki haraka tofauti na wenzetu weupe yaani akifikisha 40 basi usoni kunakuwa kama apple lililosinyaa!
tumsifu mungu kutuchagua kuwa weusi!
kama unapenda niPm nitashare na wewe jinsi ya kutunza ngozi kwa vitu vya asili kama matunda na baadhi ya viungo vya chakula!
 
Kujimake ni fani FL1, kama hiyo fani huna utaishia kununua hayo ma make-up yakawa yanajaza dressing table bure.
 
nimeipenda hiyo!inawezekana kabisa!unajua huitaji pesa ili kudumisha urembo,halafu sisi ndozi nyeusi hatuzeeki haraka tofauti na wenzetu weupe yaani akifikisha 40 basi usoni kunakuwa kama apple lililosinyaa!
tumsifu mungu kutuchagua kuwa weusi!
kama unapenda niPm nitashare na wewe jinsi ya kutunza ngozi kwa vitu vya asili kama matunda na baadhi ya viungo vya chakula!

hahaaaaaaaa, Cheusi, ni weusi wachache sana wanaoappreciate rangi yao. si unaona ma-cream na mikorogo inavyofanya kazi mijini?
 
hahaaaaaaaa, Cheusi, ni weusi wachache sana wanaoappreciate rangi yao. si unaona ma-cream na mikorogo inavyofanya kazi mijini?
ni kweli bwana inasikitisha,sasa ukishaichubua ngozi kwa kemikali na uzee pia haukawii sbb unaiharibu vibaya!
mi ni maji ya kunde lkn sio siri natamani sana kuwa mweusi kabisa kama hivi genevieve inavutia sana.
sasa ukute dada kajikoboa halafu katembea juani halafu katinga bonge la muwigi utachoka!
 
nimeipenda hiyo!inawezekana kabisa!unajua huitaji pesa ili kudumisha urembo,halafu sisi ndozi nyeusi hatuzeeki haraka tofauti na wenzetu weupe yaani akifikisha 40 basi usoni kunakuwa kama apple lililosinyaa!
tumsifu mungu kutuchagua kuwa weusi!
kama unapenda niPm nitashare na wewe jinsi ya kutunza ngozi kwa vitu vya asili kama matunda na baadhi ya viungo vya chakula!

Thanx mamy nitakuPM nahitaji sana ila net yangu leo ina kwikwi inachukua muda mrefu sana kufunguka
kama si leo kesho utakuna na msg yangu
 
Kuna mmoja anaitwa Stella Damascus sijui, na mdada mwingine kila siku huwa anapangiwa part za kilokole simjamkariri jina! Wawekeni hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom