Wajue 'GUEVEDOCES', watoto wanaozaliwa bila JINSIA hadi wanapofika umri wa kubarehe

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
bienthanhbetrai-7f5be.jpg

Unaweza kudhani nmiujiza lakini ni kawaida. Pale unapopata mototo unamuona ni wa kike, unaanza kumlea na anapofikia umri wa miaka kumi na mbili unashangaa TESTIS zinaanza kutokeza na UUME unaanza kuchomoza kwa mbali. Nii ndio dunia.

Hii ni hali inatokea mara chache sana lakini kulingana na BBC Magazine hii hali hutokea sana nchi ya Dominika.

SABABU
Mtoto anapokuwa akikua tumboni, Homoni inayohusika na kukuza viungo hivi vya uzazi inapofeli mtoto akiwa tumboni na kusababisha mtoto kuzaliwa kama wa kike baadae atakuja kuwa dume kutokana na ongezeko la Homoni hizi wakati wa kubarehe.

Hali kama hii imetokea watu baadhi ya nchi kama Misri, Papua New Guinea, Mara nyingi watoto hawa hulelewa kama wasichana hadi pale wazazi wanaposhangaa anabadili jinsia ukubwani.

Dunia ina mengi.
 
nasubiria michango ya wanaoamini kuwa ushoga umetoka ulaya na marekani, mleta mada kazungumzia kilema kimoja tu cha jinsia, kuna wenye "homoni" za kike huku ni wanaume, wenye za kiume huku ni wanawake na wengine wanajinsia mbili........sitetei ushoga hasa wa kuendekeza njaa, ila kuna vilema vingi hapa duniani.
 
mkuu ulemavu huu hauna uhusiano wowote na ushoga.
Ushoga ni tabia, Na hakuna uhusiano wowote.
Hapa Mtoto anakuwa ni mwanaume lakini viungo vya uzazi havipo kwa sababu ya matatizo ya ukuaji, wazazi kuwa kutokuelewa wanadhani ni mwanamke lakin umri wa barehe homoni zikiongezeka Viungo vyake vinatokea.

Hakuna excuse yoyote ya Mtu kuwa shoga, Ni propaganda za wazungu. Why today na sio zamani.
 
Zamani bila kuwepo urahisi wa kupata habari ungejuaje wingi wa hawa watu.
 
hivi na hii kitu "shemale" ni kweli ipo
Nimefanya kazi kama mkunga kwa miaka 13 sasa, nimeshuhudia watoto wachanga wanaozaliwa na jinsia mbili 2, sijuhi wanaozaliwa huko vijijini maana kwa Afrika watoto wengi wanazaliwa majumbani, pia kumbuka viungo vya uzazi ni suala sensitive kujadiliwa hadharani kwa mila na desturi zetu hivyo naamini hao watoto walifichwa hadi kuwa watu wazima(bila kupatiwa tiba)
 
sasa jinsia mbili inakuwaje maana niliwahi kuangaalia porn nikaona bi dada mrembo ila ana machine me mwenyewe nasubiri sasa mkunga ndio dizaini ya jinsia mbili inakuwa hivyo au jinsia mbili anakuwa na kei na dyudyu
 
Duh dunia ina mengi.

Kwahiyohuko ni mwendo wa vibamia kwa staili hii.
 
nasubiria michango ya wanaoamini kuwa ushoga umetoka ulaya na marekani, mleta mada kazungumzia kilema kimoja tu cha jinsia, kuna wenye "homoni" za kike huku ni wanaume, wenye za kiume huku ni wanawake na wengine wanajinsia mbili........sitetei ushoga hasa wa kuendekeza njaa, ila kuna vilema vingi hapa duniani.
teheteh...Their Minds are already made up, don't confuse them with facts"
 
sasa jinsia mbili inakuwaje maana niliwahi kuangaalia porn nikaona bi dada mrembo ila ana machine me mwenyewe nasubiri sasa mkunga ndio dizaini ya jinsia mbili inakuwa hivyo au jinsia mbili anakuwa na kei na dyudyu
...she was not a female with dick....just a man with boobs..:D:D
 
Aisee mie nikajua mambo ya mazingaombwe
Maana kuna kisa nilikisikia kimetikea huko dodoma mwanamke aliolewa na kuzaa kabisa watoto ila kuna siku kakaa na mmewe chumban ghafla akabadilika na jinsia ya kiume ikatokea yaani yule mwanamama alirudi kwao baada ya hali ile nikashindwa kufuatilia ilikuwaje ingawa kwangu niliona kama kiini macho
 
Back
Top Bottom