MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Unaweza kudhani nmiujiza lakini ni kawaida. Pale unapopata mototo unamuona ni wa kike, unaanza kumlea na anapofikia umri wa miaka kumi na mbili unashangaa TESTIS zinaanza kutokeza na UUME unaanza kuchomoza kwa mbali. Nii ndio dunia.
Hii ni hali inatokea mara chache sana lakini kulingana na BBC Magazine hii hali hutokea sana nchi ya Dominika.
SABABU
Mtoto anapokuwa akikua tumboni, Homoni inayohusika na kukuza viungo hivi vya uzazi inapofeli mtoto akiwa tumboni na kusababisha mtoto kuzaliwa kama wa kike baadae atakuja kuwa dume kutokana na ongezeko la Homoni hizi wakati wa kubarehe.
Hali kama hii imetokea watu baadhi ya nchi kama Misri, Papua New Guinea, Mara nyingi watoto hawa hulelewa kama wasichana hadi pale wazazi wanaposhangaa anabadili jinsia ukubwani.
Dunia ina mengi.