Wajuba naomba msaada wa virtual phone number for whatsapp please

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Primo imepigwa pini na 2ndline, naomba msaada wowote wa namna ya kupata number fake ya whatsapp wababe ambayo itakuwa free and easy kutokana na weird whatsapp restrictions.

YouTube pamenishinda wale wahindi wananichanganya kabisa.

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom