Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,031
Utakuja Mjomba yako Ana watoto wa kike wazuri tu alafu anakubania full kukutabulisha hawa ni mabinamu zako!dini zote zimeruhusu kumuoa binamu yako sasa ningeomba tu wajomba zetu msifanye zoezi hili kuwa gumu!nukta