Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,874
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19

Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Taasisi ya Wajibu imeshauri CAG aandae ripoti ya kina juu ya athari za corona katika Uwajibikaji, uchumi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo
 
Back
Top Bottom