Yaani unawajibika kusali na kufanya kazi. Hayo ya salamu ni mbwembwe tu, lol.
Hehehe, i once thought of doing stand up comedy ili nisiende shule. Mshua Mtambuzi akaniambia you will be a dumb comedian. Sijui nifanye saa hizi part time?
ila hujanisalimia banaa! Yerrooo?
Alikubania au alijua utafungwa tu kwa akili yako!!!!!
We salam tu, tangu juzi umejifichia wapi???
Hehehe wivu tu wa kizee. But he was right kwa kweli.
mbona nipo kaka. Japo nimefichwa kiduchu na majukumu ya kuchunga ng'ombe. Uje unywe dang'a aisee
Shikamoni kina yero !
marahaba bCg...hujambo??!
Yaani unawajibika kusali na kufanya kazi. Hayo ya salamu ni mbwembwe tu, lol.
Kusali sawa lkn salam hata jogoo anaamkia "hajambo ulipooooooooo" kila saa 11 asubuhi. Sala na kazi ndio mpango mzima!Niamkapo, Nasali na baadaye, salamu kwa marafiki ndugu na jamaa: wakubwa=shikamo vijana wenzangu=Habari wadogo zangu=umeamkaje. Mungu akulinde kwa upendo wako wa kukubali kuitikia salam yangu. AMEN.
Takwenyaaa?
masai dada kuna nini apa?