Wajibu wa serikali kwa raia wake nje ya mipaka ya Tanzania

Ngereja

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
798
333
Tukio la serikali ya Rwanda kutuma helicopter ya jeshi na ambulances kuja Tanzania (Shinyanga) kuwakoa Raia wake waliopata ajali juzi, linanifanya nijiulize, tukio kama hili lingewakumba watanzania, iwe ni kenya, Uganda au popote pale ingewajibika namna gani katika rescue operation. Shame on our rescue services in Tanzania. Links to read: RDF helicopters rescue accident victims in Tanzania http://www.newtimes.co.rw/index.php?issue=14622&article=41063
 
Back
Top Bottom