Wajibu wa mabalozi wetu nje ya nchi umebadilika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajibu wa mabalozi wetu nje ya nchi umebadilika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 13, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Mabalozi wetu sasa wamekuwa makuwadi wa wezi wa pesa zetu. Wao ndio wanafanya arrangements za mabenki. Badala ya mabalozi kuwa walinzi wa mali zetu wao wamekuwa ndio mawakala wa wezi wetu, inasikitisha sana.
  Roho ya uzalendo haipo tena..
   
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka nchi isha uzwa hii, kama kiranja mkuu, hawezi hata kuongoza "paredi"
  unadhani hao mamonitor wataweza kuwa na adabu?
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kwisha Tanzania. Kwisha. Imebaki maiti.
   
 4. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mabalozi..? Maswaiba wake.
   
Loading...