Wajf nani anaweza kufanya hii kazi?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Labda wife awe hoi anaumwa.
 

Attachments

  • 230862_376583165750350_1855472377_n.jpg
    230862_376583165750350_1855472377_n.jpg
    26.5 KB · Views: 361
Inamaana ulipokua ujaoa nani alikua anafanya?inamaana mke wako kama anaumwa/mjamzito/amesafiri/ hautafanya?
 
Kama vile hana kazi ya kufanya.Hata kama mke anaumwa kwani mashemeji hawapo waje kumsaidia dada yao wakati anaumwa eboo
 
Hii kazi mbona wanaume wengi wanaisomea siku hizi na wanakuwa mahiri kuliko wanawake
 
Inamaana ulipokua ujaoa nani alikua anafanya?inamaana mke wako kama anaumwa/mjamzito/amesafiri/ hautafanya?

kwa kuongezea tu mkuu. nani kamwambia mkewe ni mtumwa? au alimuoa ili awe hous girl wake.? zamaniilikuwa kazi za mwanamke cause mwanaume alikuwa mtafutaji ila siku hizi wote watafutaji so nikusidiana.
 
Back
Top Bottom