Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000
sawa hizo ni bei za ebay na kwengine
zile wao wanauza hivyo kwakuwa ni vitu viliyotumika miaka mingi kwahiyo ni kama kumbukumbu ...
na ukumbuke kuwa ninavyozungumzia ni vile ilivyotengenezwa kwa ile extra Power
1.Rupia Nyekundu yenye simba 2
2.Funfu mark
3.Pasi
4.Jiko
5.Rupia yenye umbo la kitumbua
Hivi vyote vina hali ya kuwa kama na Spirit ndiyo maana zipo na ofer kubwa
na siyo hizo uonazo wewe ebay
 
Duh sawa ila ni kitu ambacho hakimake sense labda kama vinatumikama kama kumbukumbu. Kama coins zaidi ya 2500 za kipindi cha Anglo Saxon tena zilizotengenezwa kwa silver ziliuzwa $6, kwanini hizi za juzi ziwe bei hiyo.
 
Duh sawa ila ni kitu ambacho hakimake sense labda kama vinatumikama kama kumbukumbu.
kwenye hivyo nilivyokutajia ni vyombo kama vingine lakini ndani yake vyote vina Mercury either red/black na chache huwa na Blue lakini vina extra power ndiyo wazitafutazo na vinalipiwa pesa nyingi sana kwakuwa Familia ile ya mtawala wa Mwisho wa kifalme Ujerumani wameamua kukusanya zilizokuwa malizao sasa wakizipata wanatoa sadaka yao kwa kupata chombo chao
 
Naomba nisamehe bure Brother ,,,nimepata majibu kuwa hata uwezo wako wa kufikiri ulivyo nisamehe bure tu ndugu,,,lakini nipo kwa ajili ya kushare na wale walio na interest na field hii ili wasiifanye hovyo na kukutana na changamoto zisizo na Majibu
Kwahiyo we uhasibu wako umefunzwa ushirikina mi nna watu 38 nnawafahamu wamelizwa sababu ya hizi habari za kusadikika na Jana tu mtu kauza nyumba MIL 6 Tena muinjilist wa kanisa la KKKT Tena Ni maarufu ukisikia story zake Ni za KUPATA ma B sasa. Mwaka Jana Kuna mtumishi wa serikali akatumia hela za Pos kwa ajili ya kutafuta rupee akalizwa M12 hizi Ni habari za kusadikika. KILA MMOJA APAMBANE KWA NGUVU ZAKE KWA KITU AMBACHO KITAMLETEA MAFANIKIO HATA KAMA KWA KUCHELEWA ILA SIO KWA KITU AMBACHO KITAMPOTEZEA MUDA

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
kwenye hivyo nilivyokutajia ni vyombo kama vingine lakini ndani yake vyote vina Mercury either red/black na chache huwa na Blue lakini vina extra power ndiyo wazitafutazo na vinalipiwa pesa nyingi sana kwakuwa Familia ile ya mtawala wa Mwisho wa kifalme Ujerumani wameamua kukusanya zilizokuwa malizao sasa wakizipata wanatoa sadaka yao kwa kupata chombo chao
Duh... Ngoja nisibishe maana dunia ina maajabu mengi na mimi siwezi kujua kila kitu. Ila inastaajabisha kweli.
 
Kwahiyo we uhasibu wako umefunzwa ushirikina mi nna watu 38 nnawafahamu wamelizwa sababu ya hizi habari za kusadikika na Jana tu mtu kauza nyumba MIL 6 Tena muinjilist wa kanisa la KKKT Tena Ni maarufu ukisikia story zake Ni za KUPATA ma B sasa. Mwaka Jana Kuna mtumishi wa serikali akatumia hela za Pos kwa ajili ya kutafuta rupee akalizwa M12 hizi Ni habari za kusadikika. KILA MMOJA APAMBANE KWA NGUVU ZAKE KWA KITU AMBACHO KITAMLETEA MAFANIKIO HATA KAMA KWA KUCHELEWA ILA SIO KWA KITU AMBACHO KITAMPOTEZEA MUDA

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
sasa nikusaidie hapo Pawa hao waliotapeliwa ni wapumbavu na ukisoma thread zangu narudia sana kuwa kama hauna taarifa sahihi juu ya field hii lazima upigwe tena sana na wanao kutapeli ni waganga wa kienyeji....na ndiyo maana unaona naingia huku kushare na watu ili kama anakutana na dalili za utapeli asije ingia huko lakini hakuna kusadikika juu ya haya .
 
na hao walidanganywa kuhusu kuleta pesa ya kukomboa pesa zao kitu mabacho si kweli na hapondipo walipo kosea hao ndugu zako....kutokuwa na elimu sahihi juu ya jambo ni changamoto na ukisoma hapo chini kwenye hayo maandishi mekundu utaelewa
 
Kuna yule mwamba aliesema babu yake kaacha mchanga ambao hauloi hata wakati wa mvua. Ni bora wapageuze makumbusho tu hapo twende tukapashangae wapate hela wakati wanamsuburia huyo mrithi wa mikoba ya babu
 
shida nae hakurudi tena kuelezea na pale kuna uwezekano walikuwa na zile item sema babu wa babu zake wakati wanaachiwa kulinda wao waliishi navyo kimila hasa na hata kuvifanyia matambiko.
 
Naendelea kukushukur Mkuu Barjun,kwa Maarifa,wanaodai ni habari za kusadikika,ina mana serikali yetu pia,inaendesha mambo ya kusadikika,hadi kuunda kitengo,wizara ya maliasili ili kushughulikia Mali kale? Pia bunge kutunga Sheria ya kusimamia mambo haya? Fanyeni kutafiti zaidi,ni wazi kuwa utapeli upo pia kama ulivyo ktk mambo mengine,unaweza kuendesha Kilimo au ufugaji ukatapeliwa kwa kuuziwa mbegu,na Dawa feki,nk, lakini haimaanishi kuwa hakuna Dawa na mbegu halisi/bora eti kwakuwa nyingi ni feki
 
Aaahhh ajuaye vipi mkuu?
ulibahatika kusema nasi kwa simu mkuu mchungaji amekaa kimya Brother vipi?
 
Naendelea kukushukur Mkuu Barjun,kwa Maarifa,wanaodai ni habari za kusadikika,ina mana serikali yetu pia,inaendesha mambo ya kusadikika,hadi kuunda kitengo,wizara ya maliasili ili kushughulikia Mali kale? Pia bunge kutunga Sheria ya kusimamia mambo haya? Fanyeni kutafiti zaidi,ni wazi kuwa utapeli upo pia kama ulivyo ktk mambo mengine,unaweza kuendesha Kilimo au ufugaji ukatapeliwa kwa kuuziwa mbegu,na Dawa feki,nk, lakini haimaanishi kuwa hakuna Dawa na mbegu halisi/bora eti kwakuwa nyingi ni feki
Me naamini kabisa hizi mali ni zipo kweli na hata serikali inajua zilipo. Niliwahi kusikia sehemu zilipojengwa kambi za jeshi, hsptl za umma, shule za serikali au sehemu zilizotengwa inawezekana kukawa na mali kale hizo.
 
Peleka huko kwahiyo we umefanikiwa acheni tamaa Bora uuze mkaa utafute mtaji wako acheni tamaa we ulipatikana baada ya mtu mmoja kumzini mwenzake heshimu hicho KITENDO usikute hata hapo ulipo ulizini usiku

Acha tamaa Nani aache mali chini Tena kwa kwa kufukia chini wao wajerumani wajinga au? Acha tamaa utakua mchawi wewe laatullah

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nilipatikana ndani ya ndoa kwahiyo lilikuwa tendo halali na pia hawakuwa michepuko..
na mali zile hazikufukiwa kama ufukiavyo takataka walijengea vyumba kabisa tena kwa u smart mkubwa kuliko udhanivyo wewe,,, na hata walizo ficha mapangoni waliziweka kwenye usafi sana maeneo yao...
anzia mwanzo wa nilipoanza kupost na usome vyema...
kwenye uchawi sipo huko ila nina power ya kutengua nikikanyaga eneo husika kwakuwa nguvu zote za giza zinasizi Mzee.
 
Yees upo sahihi na pia utapeli unaweza tokea hata kwa anaesema anahii item pia ni umakini na kuwa na taarifa sahihi ya atakacho kwambia anacho.
Ntakutafuta nikitaka tena kujaribu upande huo,maana mara ya mwisho kujishughulisha na hii kitu ilitaka kutokea utapeli ile item ikarudi nilipoitoa sijajishughulisha tena ngumu sana kupata mtu wa kuchukua

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
 
uliirudisha kwa kukosa wa kuichukua au ilirudi yenyewe ukiwa safarini baada ya kupewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom