Wajenga Ghorofa 15 kwa Siku Sita tu!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Chinese workers build 15-story hotel in just six days

Picture-1.png

As the United States and China battle over the finer points of currency manipulation at the G-20 summit, American negotiators may want to take note of this startling testimonial to the productivity of Chinese workers: A construction crew in the south-central Chinese city of Changsha has completed a 15-story hotel in just six days. If nothing else, this remarkable achievement will stoke further complaints from American economic pundits that China's economy is far more accomplished than ours in tending to such basics as construction.

Meanwhile, it's easy to imagine the disorientation of Changsha residents who'd gone away, or who just hadn't recently ventured into the downtown neighborhood of the new Ark Hotel: "Honey, I don't remember a hotel there, do you?"

The work crew erected the hotel -- a soundproofed, thermal-insulated structure reportedly built to withstand a magnitude 9 earthquake -- with all prefabricated materials. In other words, a crew of off-site factory workers built the sections, and their on-site counterparts arranged them on the foundation for the Ark project.

Despite the frenetic pace of construction, no workers were injured -- and thanks to the prefab nature of the process, the builders wasted very few construction materials. Below is a time-lapse video that shows the hotel being built from the ground up in less than a week:
 
Last edited by a moderator:

Mbona hizi stories haziendani:

Shanghaifire2_397x224.jpg

Firefighters try to extinguish a fire at a building in Shanghai, November 15, 2010. A 30-storey residential building caught fire on Monday, local firefighters said in a Xinhua News Agency report. The total number of casualties has yet to be confirmed and the cause of the blaze remains unknown, the report added. REUTERS/Aly Song (CHINA - Tags: DISASTER)
 
Si kweli haya ya Siku Sita.

Ni sawa na kusema Mike Tyson kapata Milioni 10 Us $ kwa kupigana sekundi 90.

Unasahau mazoezi na maandalizi aliyoyafanya kwa kipindi kirefu.

Kwanza hawaonyeshi walijenga lini Msingi ambao ni sehemu muhimu sana kwa nyumba,

Pia wametumia Pre-Cast materials only. Sasa hizi walianza kuzijenga lini?

Hapa inabidi tuseme "Wachina Wame - Assemble hotel kwa siku SITA." Kama Computer vile....
 
wewe umesema kweli mkuu
 
Ah ah ah.... Made in China!
 
Mbona hizi stories haziendani:

Shanghaifire2_397x224.jpg

Firefighters try to extinguish a fire at a building in Shanghai, November 15, 2010. A 30-storey residential building caught fire on Monday, local firefighters said in a Xinhua News Agency report. The total number of casualties has yet to be confirmed and the cause of the blaze remains unknown, the report added. REUTERS/Aly Song (CHINA - Tags: DISASTER)

Ullipuaji una hasara zake. Hasara moja wapo ni kutozingatia safety regulations dhidi ya majanga kama moto. China wana sifa ya ku-cut corners ili wamalize haraka na kuanza kuingiza pesa. Hii ni tahadhari tu.

Amandla......
 
Si kweli haya ya Siku Sita.

Ni sawa na kusema Mike Tyson kapata Milioni 10 Us $ kwa kupigana sekundi 90.

Unasahau mazoezi na maandalizi aliyoyafanya kwa kipindi kirefu.

Kwanza hawaonyeshi walijenga lini Msingi ambao ni sehemu muhimu sana kwa nyumba,

Pia wametumia Pre-Cast materials only. Sasa hizi walianza kuzijenga lini?

Hapa inabidi tuseme "Wachina Wame - Assemble hotel kwa siku SITA." Kama Computer vile....

Even for assembling siku sita ni kidogo mno. Na ndo unakuta hali ya usalama haizingatiwi na maafa yake yanakuja baadae.

China inasifika kwa kuwa na safety standards legelege, machimbo yao ya coal yanaongoza kwa kuuwa watu.
 
Back
Top Bottom