Wajasiriali mali maarufu wa Tanzania/A.Mashariki ni wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajasiriali mali maarufu wa Tanzania/A.Mashariki ni wapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jimmy19823, Aug 22, 2011.

 1. J

  Jimmy19823 Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zebu wana JF,

  Ninaomba msaada wenu, ukiacha wajasiriamali maarufu kama R.A Mengi na Said Salim Bakhresa, ni wajasiriamali wengine wapi maarufu wenye biashara zenye ushindani hapa Tanzania au hata Africa mmashariki kwa ujumla?

  nawasilisha
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ridhiwani K
  Mr & Mrs Benjamin Mkapa
  Rostam Aziz
  Lowasa
  Iddi Simba
  Yule mama wa BSS
  Mimi
  etc
   
 3. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitakupa vijana ambao hata mie wananivutia. Uwe umewahi kuwasikia au bado; nakuhakikishia ni wajasiriamali haswaaa!

  Maxence Melo & McKee Mushi JF
  Paul Mashauri EASB, NATOL, 24HRS Media Technologies
  Modesta Lilian Mahiga Professional Approach Ltd
  Selestine Maleva Hill Blocks/Mineral Bits Ltd
  Asifiwe Malila Jamii Farms
  Joe Kusaga Clouds Media
   
Loading...