Wajasiliamali wanawake waliopo Dar es salaam hii inawahusu

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
456
250
( Kwa WAJASILIAMALI WANAWAKE waishio Dar es salaam )

10 women,6 months coaching inaletwa kwenu na kampuni ya Yellow heels consulting ( Kampuni mahususi kwaajili ya kukuza na kubadili biashara za Wanawake tu. Ikiongozwa na Grolia ( The boss lady )

Je, wewe ni mwanamke mpambanaji??? Kama jibu ni *NDIYO* basi hii ni muhimu kwako.

Wanahitajika wanawake 10 tu ambao watapatiwa mafunzo maalum kabisa yatakayowafikisha kwenye kukua katika ujasiliamali wao.

Wanawake hao 10 watafundishwa yafuatayo.....

1. JINSI YA KUWEKA MIFUMO THABITI YA BIASHARA

2. JINSI YA KUIKUZA BIASHARA YAKO

3. KURUDIA AU KUTAFUTA SABABU YAKO HALISI YA KUFANYA UJASILIAMALI

4. JINSI YA KURUDISHA HALI NA MORALI YA KUFANYA BIASHARA

5. JINSI YA KUUPANGILIA MUDA KATIKA BIASHARA YAKO

6. PIA UTAFUNDISHWA NAMNA YA KUWEKEZA KATIKA BIASHARA YAKO


Kila mwezi utakua na takribani masaa kadhaa ya binafsi ya kuzungumza na The boss lady Gloria pamoja na coachers wengine, pia kutakuwa na networking na wajasiriamali wengine.

Ada ya mafunzo ni Elfu 40 tu kwa mwezi. Nafasi ni 10 tu kwa mwezi huu wa tatu.
Kumbuka hii ni special, Gloria atazungumza na mwanamke mmoja mmoja kutatua changamoto binafsi zinazowakumba katika ujasiliamali wao.

Kwa maelezo zaidi mpigie Grolia the boss lady kwa : 0718077209

Ahsante, mungu awe nawe na akubaliki.
IMG-20190307-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,982
2,000
Nami i
hujanikwza..labda km umefikiria vingine..imagine ni maelfu wangap wajasiriamali wa dar alafu atake kumi tu..atleast angechukua mia...!
Nami nimeshangazwa na Hilo mkoa wenye Watu million karibu 5 atake watu 10 mmmmh!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom