Wajapan ubunifu umepungua au kwanini magari haya yanafanana hivi?

Wakati mwingine majina yanatofautishwa na masoko. Unakuta gari Japan lina jina fulani ila kwenye soko tofauti kuna jina kama hilo kwenye gari jingine teyari. So inabidi watafute jina tofauti kwa same car.

Pia Toyota na makampuni mengi makubwa yanamiliki hisa kwenye makampuni madogo madogo. Mfano Toyota ndio mmiliki mkubwa wa Hino, Subaru, Daihatsu, Lexus etc.

VolksWagen ndio mmliki mkubwa wa Audi, Porsche, Lamborghini, Bugatti etc. So ni kawaida kukuta gari zao zikishare parts kwa wingi. Sababu ni basically gari za kampuni moja.

Pia suala la kushare costs za R&D na production pia kama walivyosema jamaa inachangia kufanya magari yafanane. Badala jamaa kuingia gharama ya kuunda engine mpya, wanachukua ya kampuni nyingine rafiki.
 
Hahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system.

Ila mtu mwenye kilimo kwanza ya 2009 anaweza kwenda sawa tu na walioko 2020 akinunua Facelift Kit na Infotainment package. The same applies to Prado ya kuanzia 2010 nayo unaweza kuifanya kuwa ya 2020 ukipata facelift kit.
Naomba nisahihishe...Hiyo L/Cruiser injini yake ni 1VDJ FTV,hiyo 1KD ni kwenye Prado,Hilux n.k
 
EINSTEIN112,

Mkuu huwa zinatofautishwa kulingana na performance,mfano Toyota Allex na Toyota Runx zina muundo mmoja na zinafanana kwa asilimia 80,lakini Toyota Allex ina engine ndogo ya cc1450 na ulaji wa mafuta ni 15.5km/ltr,Toyota Runx ina cc1750 na inakwenda na 11km/ltr.pia hata ukubwa wa body zinapishana kidogo Runx ni kubwa kidogo kuliko Allex.

Hivyo ukitaka gari inayokimbia kwa safari za mbali Runx inakufaa,ukitaka gari kwa ruti za mjini tu hapa hapa Allex ni chaguo sahihi.the same applies to Carina TI vs Carina SI, carina Ti ina engine ndogo kuliko Si

We ndo umeandika kitu hukifahamu better ufanye research kwanza ..nana kasema runx inakuja na engine hiyo tu...hujui kuna runx zina ile ya 1.5L NZ series?
 
We ndo umeandika kitu hukifahamu better ufanye research kwanza ..nana kasema runx inakuja na engine hiyo tu...hujui kuna runx zina ile ya 1.5L NZ series?
hadi mtu mzima anaandika kitu,huwezi chukua mamlaka kusema hajui anachoandika,sidhani pia kama research yako uliyoifanya wewe kama uliconsider detailed specifications za gari/magari husika, zaidi utafiti wako upo kwenye gari used from japan,ambayo either ni manufacturer refurb or whatever.Runx kuwa na NZ 1490 engine haibadilishi kusudio la kuundwa kwake.

kwa kukuongezea tu runx ina nafasi kubwa ya ndani kuliko allex hivyo kuwa na NZ engine ya 1.5 inawezekana kulikuwa na fewest options available kwa toleo hilo, ila kusudio la msingi ilikuwa 1790cc na pia mfano wangu haukuishia kwenye runx na allex, nimezungumzia pia carina Ti na Carina Si,moja ina 4A engine ya 1490cc na nyingine ina 7A ya 1790cc, ingawa unaweza kuweka engine ya 4A kwenye carina Si bila modification na ikakaa vizuri. kiufupi gari zinatengenezwa kwa kufuata perfomance na target market
 
hadi mtu mzima anaandika kitu,huwezi chukua mamlaka kusema hajui anachoandika,sidhani pia kama research yako uliyoifanya wewe kama uliconsider detailed specifications za gari/magari husika,zaidi utafiti wako upo kwenye gari used from japan,ambayo either ni manufacturer refurb or whatever...

Narudi pale pale ukuwe unafanya research ...what is your utu uzima hapo sasa??🤔🤔

Umeona mfano huo tu ..huwezi sema runx inakuja na 1700cc's kwamba unataka aminisha umma kuwa gari hiyo inakuja na engine hiyo tu? Unarekebishwa unaleta utu uzima , we unajua umri wangu ?? Am your father you little kid
 
Sasa utakuta magari tofauti yanatumia injin aina moja huu si kukosa ubunifu?



Sidhani kama kuna kampuni inaundia kila gari engine yake ..hizo gari bei tusingenunua ungekuta hata plate namba ndo tuko T *** AZZ

Kila kampuni inafanya hayo kupunguza gharama.

Hata watengeneza magari eg VW huwa hawaweki oda watengenezewe kitu flan cha kila aina flan ya gari instead wanaweka oda ..mfano kwenye audi A4 zipo za aina nyingi zipo ndogo ndogo za diesel za 1.9L around 88hp all the way to 300+hp sasa huwez ipa kila gari speedometer yake badala yake unakuta hako chenye engine ndogo mshale unasoma 240+ na haiwezi fika na pia speedometer hiyo utaikuta kwa A4s zingne zenye hp kubwa
 
1NZ, 2NZ, 3S, 4S, 7A, 4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFU


naona umetoa mifano ya toyota tu kwan bmw hawarudii engine? Nissan hawarudii engine? Honda je? 😆 Fanya research
 
Hahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system.

Ila mtu mwenye kilimo kwanza ya 2009 anaweza kwenda sawa tu na walioko 2020 akinunua Facelift Kit na Infotainment package. The same applies to Prado ya kuanzia 2010 nayo unaweza kuifanya kuwa ya 2020 ukipata facelift kit.

Kwenye prado utabadili ila mtashindwa kwenda sawa ..kuna engine mpya ilianza tumika huko 2015 then 2016 wakaiweka tena kwenye hiace ni shiiida
 
Nilkwambia uwe unafanya Research unajidai mtu mzma ..naona umetoa mifano ya toyota tu kwan bmw hawarudii engine? Nissan hawarudii engine? Honda je? 😆 Fanya research
wewe jamaa una shida binafsi sana,umeenda kuvamia post ya mtu mwingine unaanza kuleta ujuaji,nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri maana kama hata unayejadiliana naye humjui hiyo research sijui huwa unaifanya vipi.ngoja nikuache tu
 

Attachments

  • Screenshot_20200625-223050.png
    Screenshot_20200625-223050.png
    25.6 KB · Views: 5
wewe jamaa una shida binafsi sana,umeenda kuvamia post ya mtu mwingine unaanza kuleta ujuaji,nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri maana kama hata unayejadiliana naye humjui hiyo research sijui huwa unaifanya vipi.ngoja nikuache tu

Usiku mwema
 
Mimi binafsi sijajua jutofautisha kati Runx na Allex kwa kuangalia kwa macho mpaka nisome nembo pale nyuma.
Kwa kujua tofauti kwa macho ya haraka ni kuangalia kwenye tau za nyuma(tail light)moja tau ya reverses ipo kipande na nyingine inaanzia juu mpaka chini
 
Back
Top Bottom