Wajanja wa Mwanza naomba msaada kuhusu biashara hii

lil pablo

Senior Member
Jan 6, 2018
108
51
Jumamosi nakuja Mwanza nakuja kutafuta fremu nataka kufungua goli la accessories maeneo ya Mwanza kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee

Naomba ushauri kwa wajanja/wanaoijua vizuri

Kati ya makoroboi, CBE, na kule ukiwa unatoka Capri Point wapi panafaa na kama unajua bei zina range ngapi kwenye frame utakua umenisaidia.

Natanguliza shukrani
 
hiyo ni biashara uchwara mana huwezi kuianza bila kuwa na details za kutosha.
 
Fungua Malimbe kule mzee ni opportunity nzuri kuna wanachuo wengi na karibu 99% wana simu acha kukariri biashara makoriboi na huko CBE wamejaa kibao
 
jmosi nakuja mwanza
nakuja kutafuta frem
nataka kufungua goli la accessories maeneo yA mwanza
kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee
NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR
kati ya makoroboi, CBE, na kule ukiwa unatoka capri point wapi panafaa na kama unajua bei zina range ngapi kwenye frame utakua umenisaidia
natanguliza
shukrani
Accessories za nini?
 
Ila kaa ukijua wanafunzi hela zao ni za kula tu tena kwa shida shida sio watu wa kuspend sana....ukitaka ule hela za wanafunzi fungua kibanda cha chipsi ndo utawanasa wengi
Fungua Malimbe kule mzee ni opportunity nzuri kuna wanachuo wengi na karibu 99% wana simu acha kukariri biashara makoriboi na huko CBE wamejaa kibao
 
mimi nilikuwa mwanza,2weeks ago,kafungue wilaya mpya ya buswelu,pale kahama magaka au ilaila,uuze vifaa vya solar nk..ila maji shida sana,ingawa daladala zinafika...
 
Ila kaa ukijua wanafunzi hela zao ni za kula tu tena kwa shida shida sio watu wa kuspend sana....ukitaka ule hela za wanafunzi fungua kibanda cha chipsi ndo utawanasa wengi

Biashara eneo la chuo ni za msimu ata hivi vibanda vya chips kipindi hawana pesa biashara huwa ngumu so unaangalia tu kama kipindi wakiwa na fedha utapata over profit piga baishara hakuna biashara isiyo na changamoto
 
jmosi nakuja mwanza
nakuja kutafuta frem
nataka kufungua goli la accessories maeneo yA mwanza
kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee
NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR
kati ya makoroboi, CBE, na kule ukiwa unatoka capri point wapi panafaa na kama unajua bei zina range ngapi kwenye frame utakua umenisaidia
natanguliza
shukrani
Mkuu ni PM nikuelekeze ila usinisahau kwenye ajira yoyote pindi shop ikiwa open.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom