comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
WAJAMENI NAOMBENI TOFAUTI KATI YA
NSA,CIA na FBI
NSA,CIA na FBI
Na katika kukuchanganya zaidi ipo DIAWAJAMENI NAOMBENI TOFAUTI KATI YA
NSA,CIA na FBI
Hawa FBI nao wanao makamanda kama Kova? Yaani fix mtupu?FBI ina deal na kesi za usalama ndan ya US
CIA ina deal na kesi za usalama znazohusisha nchi nyingne.nikimaanisha mtuhumiwa anaweza kua US lakn nimwananchi wa Russia hvyo hyo kesi itakua chin ya CIA
NSA ina deal na usalama wa taifa in general kaz moja wapo ni ulinz wa viongoz wakuu wa nchi kama raisi
huko watu wanalimwa risasi daily,Hawa FBI nao wanao makamanda kama Kova? Yaani fix mtupu?
homeland security siyo NSAHomeland security ndo nsa.pia kuna SWAT hawa ni bomb squad.unatakuwa ujue hizi dola zote za usalama ukitoa homeland na sheriff ni za watu binafs au taasisi zilizokodishw n serikali.america ndo nchi ambayo bajet yake 70% ni security
Peke yako ndiyo unaonekana kujua unachokisema katika mjadala huu. Eti NSA inamlinda rais! Watu wamesahau hata ishu ya Snowden juzi juzi hapa kuwa alikuwa contractor wa NSA ambayo inajihusisha hasa na mambo ya kipelelezi kielektroniki ( simu, Internet...). Vipindi vya Discovery channel, History channel, Science channel na vinginevyo vinasaidia sana kupata general knowledge ya mambo mbalimbali hapa duniani. Kama kusoma vitabu na ku-google hatuwezi hata kutazama vipindi vya maarifa katika TV napo ni shida?Wala SWAT sio bomb squad,naona tunaanza uziana strungi hapa,hiyo ni Speciall Weapons Attack Team,ndo ina masniper na inatumika katika rescue operations sanasana
mkuu wengine hawana access na tv so acha apate darsa hapahapa.Peke yako ndiyo unaonekana kujua unachokisema katika mjadala huu. Eti NSA inamlinda rais! Watu wamesahau hata ishu ya Snowden juzi juzi hapa kuwa alikuwa contractor wa NSA ambayo inajihusisha hasa na mambo ya kipelelezi kielektroniki ( simu, Internet...). Vipindi vya Discovery channel, History channel, Science channel na vinginevyo vinasaidia sana kupata general knowledge ya mambo mbalimbali hapa duniani. Kama kusoma vitabu na ku-google hatuwezi hata kutazama vipindi vya maarifa katika TV napo ni shida?
Sawa mkuu japo hili haliondoi uzembe tulionao wa kujielimisha.mkuu wengine hawana access na tv so acha apate darsa hapahapa.
Mkuu kirefu cha SWAT ni Special Weapons And Tactics. na sio special weapons attack.Wala SWAT sio bomb squad,naona tunaanza uziana strungi hapa,hiyo ni Speciall Weapons Attack Team,ndo ina masniper na inatumika katika rescue operations sanasana
Rais halindwi na NSA,analindwa na secret service,
pia kuna Department of home security,
actully ziko agency nyingi zaidi ya hizo tatu