Wajameni hii picha nimeikuta mahala kutoka kwenye gazeti

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,925
95,203
Wajameni hii picha nimeikuta mahala kutoka kwenye gazeti fulani sijui wanashangilia kitu gani hapo
FB_IMG_1554649970892.jpeg


In God we trust
 
Alikuwa katulia mkaamuanzishia ngebe wenyewe sasa amejibu mapigo mnaanza vilio
 
Watu wengine bwana... Walimu wana shida sana. Nimesema kalengwa, wewe unasema kudungwa! Nimekuwa mwalimu sijui matoto kama wewe ningeyavumiliaje...

CAG na Mdee mbona sioni kama wamedungwa, tena Mdee anatabasamu kabisa.
 
Back
Top Bottom