wajameni,hadithi za Truth guy zipo jukwaa gani? nimezitafuta weeeeee...lakini wapi.

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
wanandugu zangu humu jf hamjambo? nimeipenda sana jf maana hata kama una mawazo ukiingia tu humu tayari unakuwa kama umekunywa tu bia kadhaa twa kuchangamsha akili,wajameni mie nimejiunga majuzi tu na jf na nikakutana na hadithi niliyoipenda sana mwandishi akiwa ni Truth guy,hadithi inasema pikipiki ilivyookoa ka roho kangu,jameni haka kahadithi sio siri kalikuwa katamu hadi kanauwasha moto mwili,jamaa huyu ni mwandishi kwa hakika,iwe aliandika kweli au ni hisia zake tu za uandishi,bado anabaki kuwa mwandishi muzuri tu,ukianza kusoma unatamani usiache na kila part inasisimua japo vilikuwa vifupi,nilisoma hadi part 13 baada ya hapo sijaziona tena parts zinazofuata cha ajabu hata zile za zamani nazo sizioni,jameni anayejua zipo jukwaa lipi anisaidie au Truth guy mwenyewe akisoma hapa namuomba sana aniambie zilipo niendelee kuburudika jameni,najua kuna wengine wanaweza kuziponda ila nina uhakika asilimiya 95 wanamkubali huyu kashigongo kahumu au siyo jameni?
 
Ni nzuri inasisimua ila namshauri aihamishie kwenye gazeti ili iwe ndefu kidogo manake huku inakuwa ka introduction
 
ni kweli bora kamjamaa kaihamishe kwenye magazeti hapo itakuwa nzuri na kakitoa kakitabu katauza sana aseeh!
 
Back
Top Bottom