Wajameni, Good nite! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajameni, Good nite!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ibrah, Mar 1, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ni saa 6.23 usiku sasa na imekaa hapa JF tangu saa 4 baada ya umeme kurudi. Sijakuwepo hapa tangu Ijumaa kwa sababu zilezile za mgawo wa umeme! Leo umeme umerudi saa 12 lakini ukakatika, umerudi tena saa 3 na nikakimbilia hapa jamvini baada ya kumuangalia Rais akihutubia kupitia TV.

  Hotuba haikunifurahisha, haina majibu ya maswali yetu, zaidi ya Mkuu kujitetea tu na kuonyesha hofu zake dhidi ya CDM! Sasa ameamua kuionglea CDM baada ya kujikausha sana, nadhani maji yamemfika shingoni. NAdhani amefanya vizuri kuzungumzia hofu aliyonayo na naamini CDM ndiyo tawi lililokaribu kwake kuning'inia na kujinusuru baada ya tawi la 'ati udini unalinyemelea Taifa' kuwa chumvi kwenye kidonda kibichi.

  Sijui kama tawi aliloamua kulirukia litamsaidia au kuwatoa WaTZ kwenye hoja na kilio chao kuhusu hali mbaya ya uchumu, ugumu wa maisha, mgawo wa umeme nk.

  Nimepiata topics na michango yenu naona simalizi na saa zazidi kusonga! Kama ningekuwa na mtihani kesho nadhani ningefeli maana kwa mambo yalivyonoga hapa Jamvini ningeshindwa kujiandaa na mtihani.

  Sasa ni saa 6.30 za usiku na angalia listi yenu mlio live jinsi ilivyokuwa kubwa!
  [​IMG]Currently Active Users

  There are currently 4522 users online. 771 members and 3751 guests
  Most users ever online was 16,925, 1st November 2010 at 05:40 PM.

  Sasa, nawatakia usiku mwema nyote, online active members na wagenia ambao hamtaki kujisajili. ALAMSIKI!
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ibrah,
  Good night to you 2. Ingawa kwa sasa umeshaamka ni asubuhi.
   
 3. ABiClever Junior

  ABiClever Junior JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2017
  Joined: Dec 14, 2016
  Messages: 584
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  I view this
   
Loading...