Wajamen! Hasa wenye makazi hapa A town! Hili ni mtaani kwangu tuu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajamen! Hasa wenye makazi hapa A town! Hili ni mtaani kwangu tuu!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Oct 22, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni kama wiki ya tatu sasa karibu mtaani kwetu hatuonagi tena hewani channel ya ITV ikiwa hewani tangu kipindi kile ya uchaguzi juzi pale Igunga. Je? Mwenye kujua tatizo anijuze wajameni. Nawakilisha tu! Na muwe na wakati mzuri Wandugu!
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Upo wapi wewe isije ikawa wewe pekee yako ndio unaluninga halafu connection ikawa tatizo na mwisho ukaamua kuwasemea wana Mtaa.Poleni
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hata huku Arusha ishu ndio hiyo hiyo!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Nipo mtaa wa huku Sakina kutoka usawa wa barabara kuu ya Arusha-Namanga kama mita 400. Na siyo kwangu tu hata karibu mtaa moja gonjwa hilo hilo.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  vipi umefanya new search kwenye UHF? try that.
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda ujafanya search vizuri chanel zingine unapata?
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  walitangaza kuwa wapo kwenye marekebisho, kulitokea hitilafu.....japo ni muda mrefu sasa na tatizo lipo sehemu kubwa ya Arusha
   
Loading...