privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,445
- 1,272
Baada ya kimya cha Ally Kiba sasa Mtu na mdogo wake wakizifuata nyayo za Peter & Paul ama P Square, wameachia wimbo wao mpya 'Pita Mbele' kama kundi wakijiita 'Kiba Square...
Kilichofanyika humo ndani kama wataka kukifahamu waweza usikiliza / kuupakua wimbo huo kwenye link hapo chini...
Download | Kiba Square / Ally Kiba & Abdu Kiba - Pita Mbele [Audio] - NOLNIZ
Sent from my iPhone using JamiiForums