huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Tukumbushe kidogo lini Mbowe alitumiwa lugha ya matus? Angepona kweli?i
Mbowe hajawahi kutoa lugha za kuudhi,hajawahi kutukana matusi popote pale,hakuna kiongozi mwenye busara kama Mbowe!
Waitara ni mjinga sana huko alikoenda mbona MKULU kinara wa kutukana?