Waitara: Mbowe namchukia sana, na apambane na hali yake

Tukumbushe kidogo lini Mbowe alitumiwa lugha ya matus? Angepona kweli?i

Mbowe hajawahi kutoa lugha za kuudhi,hajawahi kutukana matusi popote pale,hakuna kiongozi mwenye busara kama Mbowe!

Waitara ni mjinga sana huko alikoenda mbona MKULU kinara wa kutukana?
 
Nilitaka kushangàa maana mimi sijawahi kumsifia akitukana sana sana nimesikia Lusinde akitukana na kukashifu Mbowe na yeye hajibu
 
Vijana wa Chadema mkoje nyie, si majuzi tuu, waitara alikuwa kiboko ya ccm, kamanda, jasiri, mchapa kazi.

Mbona leo hamukumbakishia tusi. Sasa ni wakati mlikuwa wakweli
 
Nilitaka kushangàa maana mimi sijawahi kumsifia akitukana sana sana nimesikia Lusinde akitukana na kukashifu Mbowe na yeye hajibu

Hapo sasa,

Huyu hana tofauti na Mwanaume aliyeachana na Demu/mpenzi wake,then baada ya kuachana akaanza kumdiss,oooooh kwanza ana maziwa makubwa,ooooooooh mara hajui kufanya mapenzi kitandani,ooooooh mara ni malaya,oooooh mvivu manenoooooooooo kibaooooooooooooooooo
 
saikolojia inasema mwanaume kumchukia mwanaume mwenzake ni chanjo mojawapo cha ushoga.
Eeh bwana eeh! Shoga mkurya? ha haha! Shoga huyo akirudi Tarime kusalimia lazima wam geche!
 
Hapo sasa,

Huyu hana tofauti na Mwanaume aliyeachana na Demu/mpenzi wake,then baada ya kuachana akaanza kumdiss,oooooh kwanza ana maziwa makubwa,ooooooooh mara hajui kufanya mapenzi kitandani,ooooooh mara ni malaya,oooooh mvivu manenoooooooooo kibaooooooooooooooooo
 
Mbowe anagombea kupitia chama gani? Mwanaume unamchukia mwanaume mwenzio?
 
Back
Top Bottom