Waitara: Mbowe namchukia sana, na apambane na hali yake

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.

Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama.

"Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.

Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali.

"Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hahahahaha mtu akiishiwa hoja bwana.sasa mbowe ndio nani hapo Ukonga? Wananchi wanataka kuskia utawafanyia nini eti unamchukia Mbowe kwahiyo sasa wanaukonga wafanyeje? Huyo jamaa sikudhani ni jinga kiasi hicho. Pigeni chini hilo jamaa
 
Amelewa huyo maana ukitazama hilo bichwa utaamini
 
haa haa. mwananchi. wa ukonga. atakaye mpaka kura waitara atashangaza sana. huyu kaacha ubunge kijinga sana. any way. anategemea. tume na mapolis wambebe.
 
Akishinda kwa hoja hizi nitawadharau sana wanaUkonga na ukiniambia unatokea Ukonga tusijuane
 
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.

Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama.

"Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.

Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali.

"Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.
Tukumbushe kidogo lini Mbowe alitumiwa lugha ya matus? Angepona kweli?i
 
Hahahahaha mtu akiishiwa hoja bwana.sasa mbowe ndio nani hapo Ukonga? Wananchi wanataka kuskia utawafanyia nini eti unamchukia Mbowe kwahiyo sasa wanaukonga wafanyeje? Huyo jamaa sikudhani ni jinga kiasi hicho. Pigeni chini hilo jamaa
Huyo sio Mkurya...ni shangazii flani. Sasa kampeni zako za ubunhe kwa ccm, mbowe unamchukia kwani alikia anakunyima hela ya kwenda salon kujipodoa?
 
Unamchukia mwanaume mwenzako kiasi hicho ili iweje?

Kwa hyo Mbowe kukukataza kwenda kushiriki uzinduzi wa Daraja ndo kilichokufanya umchukie Mbowe kiasi hiko?

Hebu funguka Mbowe kakufanya nini????????
 
Back
Top Bottom