Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.
Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama.
"Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.
Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali.
"Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.