Waitara: Mbowe namchukia sana, na apambane na hali yake

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
1,703
Likes
3,969
Points
280

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
1,703 3,969 280
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.

Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama.

"Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.

Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali.

"Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
61,607
Likes
25,512
Points
280

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
61,607 25,512 280
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.

Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama."Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali."Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.
Amelewa huyo maana ukitazama hilo bichwa utaamini
 
LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
1,931
Likes
1,504
Points
280

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
1,931 1,504 280
haa haa. mwananchi. wa ukonga. atakaye mpaka kura waitara atashangaza sana. huyu kaacha ubunge kijinga sana. any way. anategemea. tume na mapolis wambebe.
 
Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
11,310
Likes
18,381
Points
280
Age
25

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
11,310 18,381 280
Akishinda kwa hoja hizi nitawadharau sana wanaUkonga na ukiniambia unatokea Ukonga tusijuane
 
magia

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
1,503
Likes
689
Points
280

magia

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
1,503 689 280
Mgombea Ubunge wa Ukonga (CCM), Mwita Waitara amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe apambane na hali yake.

Waitara aliyekuwa mbunge wa Ukonga, akiomba kura kwa wananchi wa Ukonga leo jioni Septemba 13, 2018 amemtuhumu Mbowe kwamba alikuwa akiwatumia viongozi akiwamo yeye (Waitara) kugombanisha na Serikali jambo lililofanya miradi ya jimbo hilo kukwama."Mbowe namchukia sana, watu wengi wamekosa miradi kwa matusi yake. Mbowe akitukana si Chadema imetukana," amesema Waitara.Amesema miradi mingi kwenye jimbo hilo ilikwama kutokana na kutokuwapo na maelewano baina ya viongozi wa chama pamoja na Serikali."Daraja la Mzinga kulikuwa na shida sana nimeongea na CCM nimepiga kelele Bungeni na nimefanya lobbying lile daraja likajengwa lakini Mbowe anataka mimi hata kwenye uzinduzi nisiende. Nilimkatalia," amesema.
Tukumbushe kidogo lini Mbowe alitumiwa lugha ya matus? Angepona kweli?i
 
Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,060
Likes
1,741
Points
280

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,060 1,741 280
Hahahahaha mtu akiishiwa hoja bwana.sasa mbowe ndio nani hapo Ukonga? Wananchi wanataka kuskia utawafanyia nini eti unamchukia Mbowe kwahiyo sasa wanaukonga wafanyeje? Huyo jamaa sikudhani ni jinga kiasi hicho. Pigeni chini hilo jamaa
Huyo sio Mkurya...ni shangazii flani. Sasa kampeni zako za ubunhe kwa ccm, mbowe unamchukia kwani alikia anakunyima hela ya kwenda salon kujipodoa?
 
huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Messages
1,355
Likes
1,145
Points
280

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2015
1,355 1,145 280
Unamchukia mwanaume mwenzako kiasi hicho ili iweje?

Kwa hyo Mbowe kukukataza kwenda kushiriki uzinduzi wa Daraja ndo kilichokufanya umchukie Mbowe kiasi hiko?

Hebu funguka Mbowe kakufanya nini????????
 
Forum statistics

Threads 1,203,574
Members 456,842
Posts 28,119,897