Waitara awavaa wapinzani Bungeni, "Mnataka mpewe gunia la Chawa?"

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara amewashauri wabunge wa upinzani kujipanga namna nzuri ya kutoa hoja ili wakosoe vizuri na wala sio kutukana. Mh. Waitara ametoa kali hiyo wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia katika makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
 
hivi wakury a wote akili zenu ziko hivi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara amewashauri wabunge wa upinzani kujipanga namna nzuri ya kutoa hoja ili wakosoe vizuri na wala sio kutukana. Mh. Waitara ametoa kali hiyo wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia katika makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Huyo Mwita Waitara ni zaidi ya dhaifu, kifupi ni lidhaifu yani eti Billioni 13 + Billioni 18 jumla ni sawa na Billioni 1, huyu kweli ni waziri ? Au Wazimu ? Hesabu hizo alisoma Chooni au Chuoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara amewashauri wabunge wa upinzani kujipanga namna nzuri ya kutoa hoja ili wakosoe vizuri na wala sio kutukana. Mh. Waitara ametoa kali hiyo wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia katika makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

chizi huyu
 
Back
Top Bottom