esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 552
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara amewashauri wabunge wa upinzani kujipanga namna nzuri ya kutoa hoja ili wakosoe vizuri na wala sio kutukana. Mh. Waitara ametoa kali hiyo wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia katika makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya Wizara ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2019/2020.