Wait a minute Pls,,,,,hivi ni kina nani hadi sasa wamerejesha fedha zetu za EPA?

Nyerererist

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
443
170
ngoja kwanza wakati tunasubiri uchunguzi ya vile "VIJISENTI" tujikumbushe kuhusu vile vijisent vya pale EPA,,, jamani wana JF vyombo vyote vya habari vimekua havitaji kwa majina ni kina nani wamerejesha.....kwa vile hapa tunamkoma nyani giladi kweupe, naomba tuwataje kwa majina wale walio rejesha vijisenti vya EPA (BOT)
 

ngonga

Member
Feb 12, 2008
32
0
jamani hebu kila mtu a google CORRUPTION INVOLVED JERSEY ENGLAND pale mtapata information nyingi sana, kwanini vijisenti vinawekwa huko.
 

Nyerererist

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
443
170
huo ni uhuni mkubwa kama hakuna hata mmoja alierejesha hizo fedha,,lakini na Wa-TZ tutabadilika lini?? kwa sababu jambo linalotakiwa hapo ni kuwanyima kura next time lakini ni wangapi wapo teyari kwa mabadiliko? na wangapi huko vijijini wako teyari kuachana na neno "CCM IMETULEA NA KUTUKUZA""? kwa kweri inatia uchungu sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom