Waisrael waandamana kupinga waafrika wahamiaji

Kwao hawatutaki ila sisi tuko bize kuwapa vibali feki vya kuishi.
Hawawataki bse wanabana nafasi za ajira sisi uku wachina lukuki wanauza maua kkoo ivi ni mwekezaji kweli uyo?
 
Kwao hawatutaki ila sisi tuko bize kuwapa vibali feki vya kuishi.
Hawawataki bse wanabana nafasi za ajira sisi uku wachina lukuki wanauza maua kkoo ivi ni mwekezaji kweli uyo?

Watu wanaongelea Israili wewe unaongelea wachina!

Miafrika ndivyo ilivyo = Nyani Ngabu.
 
Always tumekua tukiwatetea waisrael nadhani hii habari itawashtua ata wamarekani ambao wamekua wakiwasponsor kwa kila kitu...imagine mpaka viongozi wao wanasema hawa ni cancer yani sisi waafrica lakini nadhani waisrael ndo wanaoongoza kwa kutapakaa ulimwenguni..nimeona ktk vyombo vya habari vya UTURUKI,RUSSIA lakini vyombo vya habari yva ulaya na marekani hawajaonesha huu ubaguzi wa hali ya juu..kuna mwafrika mmoja anaendesha gari lake then wakapasua vioo na kuwajeruhi...na wengine wamebeba mabango kua ''AFRICA NEEDS AID NOT STATE'' imagine nchi ya israel inayoongoza kwa kupata misaada duniani ndo inatoa kejeri kihasi hiki....Nadhani hii dhambi itawarudia wanaojiita wateule wa mungu
 
For real!??? Taifa langu Israel nimekutendaje au kwa jambo gani nimekusikitisha????
 
Thousands of Israelis, including high-profile politicians, attended an anti-African demonstration in Tel Aviv. The rally turned violent, with attacks on Africans and grocery shop windows being smashed. sOURCE:Israeli Kristallnacht: Africans attacked in Tel Aviv anti-migrant demo (PHOTOS) — RT

Sidhani kama hawapendi waafrika!
Tatizo kubwa la waafrika na waarabu ni kuwa hatutaki kutatua matatizo yetu wenyewe ndio maana tunang'ang'ania nchi za watu.
Israel ni kaeneo kadogo sana, lakini utashangaa watu wenye maeneo makubwa kama waarabu na waafrika wanakimbilia Israel.
Kwa nini waarabu wanashindwa kuwapa hifadhi waarabu kipalestina?
Kwa nini waafrika wanakimbilia ulaya na Israel?
Wakati kuna maeneo makubwa uarabuni na Afrika?
Wanasiasa wetu hawana mipango kuhudumia raia wao.
Hatupendani wenyewe.
 
Hongera muisrael unajua kiswahili na bado .Wale wanao hubiri na kuweka bendera ya israel mbele kama mzee wa Upako sijui wataondoa.
For real!??? Taifa langu Israel nimekutendaje au kwa jambo gani nimekusikitisha????
 
Sawa kabisa mwafrika unakwenda israel kufanya nini nchi yenyewe ndogo wao wenyewe wanawasomesha wataalamu na kuwanatuma nchi za america na ulaya kutafuta fedha na kutuma israel kwa ajiri ya maendeleo. Sisi marais wetu wanahaha ulaya kuomba misaa
 
Taifa teule la Mungu linakataa watu wa Mungu ! Ajabu !!?

Kwani wallijiteua wenyewe mkuu, hao wayaudi wenyewe huo uteule hata hawaung'amui.
Sisi Waafrika imefika mahali inabidi tuthamini nchi tuliyopewa na Mungu na kuacha kung'ang'ania huko ughaibuni na huku nyuma tunaacha hawa watu weupe wakikwapua zetu rasilimali na mali
 
Kuna watu humu JF wanasema ukiwakataa 'Wayahudi' basi umelaaniwa !
 
Sidhani kama hawapendi waafrika!
Tatizo kubwa la waafrika na waarabu ni kuwa hatutaki kutatua matatizo yetu wenyewe ndio maana tunang'ang'ania nchi za watu.
Israel ni kaeneo kadogo sana, lakini utashangaa watu wenye maeneo makubwa kama waarabu na waafrika wanakimbilia Israel.
Kwa nini waarabu wanashindwa kuwapa hifadhi waarabu kipalestina?
Kwa nini waafrika wanakimbilia ulaya na Israel?
Wakati kuna maeneo makubwa uarabuni na Afrika?
Wanasiasa wetu hawana mipango kuhudumia raia wao.
Hatupendani wenyewe.
Aiseeh ! Unaongea kama 'Teja' linabembea !
 
Kuna kwaya moja iliwahi kuimba wimbo hu...
"Natamani kufika mji ule wa Israeli, mji wa ahadi tukanywe asali na maziwa..." LOL
 
Kweni wanaoandamana wote CHAdema????? Waliovunja mabucha ya nguruwe na kuiba nyama yote ni waislam_???? NI WAHUNI WACHACHE WANACHAFUA. GOOD. IMAgE
 
Waafrika wanabaguliwa siyo tu Israel bali hata katika nchi zao wenyewe!
Ukombozi wa waafrika utatimilika tu pale watu weusi watakapojiona bora kuliko mtu mwingine yeyote na kudhihirisha hilo kwa vitendo dhidi ya hao wanaowabagua!
Tunahitaji kutumia akili na nguvu zetu kupambana na wabaguzi hao badala ya kuwanyenyekea na kulalamika. Ikibidi tuanze hujuma dhidi yao!
MUNGU wetu ametupa nguvu na akili tuzitumie, lakini kwa ujinga tunajiaminisha kuwa wateule ni wengine na siyo sisi!
Hii ndiyo laana itakayomuandama mtu mweusi hadi hapo atakapoitumia vizuri akili aliyopewa na Mungu wake na atambue kwamba yeye ndiye mteule!
 
Back
Top Bottom