Waislamu wazindua Jukwaa la KATIBA

Mkuu ,hivi hii MoU kama inavunja katiba ni nini kinachowazuia waislam kui challenge mahakamani? Kama wewe unaweza kuonyesha jinsi MoU inavyovunja katiba jaribu kutuonyesha hilo hapa jamvini.
Je umefanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa huduma zote za jamii hata zile zinazotolewa vijiji vya ndanindani kabisa gharama yake ni kubwa kuliko ya private hospitals nk?
Hivi mkuu wangu unafanya makusudi au?...ama kwa sababu siusi tumesimama upande wa pili ndio basi inakuwa swala la Waislaam. Mbona Lowassa hafikishwi mahakamani na wewe ni mmoja wa watu wanaolalamika sana na kashfa za Richmond, Mkapa na EPA na wengine wote sasa maadam hawajashtakiwa ama kufikishwa mahamani inapoteza uharamu wa vitu hivyo..
Simple nenda kasome katiba inaposema serikali yetu haina dini isipokuwa wananchi wake kisha nenda kasome muafaka huu wa MoU utaona kunavyojichanganya..

Utafanya vipi utafiti vijijini ikiwa hospital iliyoko ni moja tu nayo ni ya kanisa? utalinganisha na kitu gani...hao wengine ni wauza madawa tu Phamacy tena wanauza madawa feki, na hizo unazozungumzia ni zahanati wala sio Hospital..na huwaambia wagonjwa wakanunue dawa Phamacy kisha warudi kutibiwa ni ushenzi mtupu. Mkuu familia yangu tunatoka shamba vijijini, nalijua joto la jiwe vizuri sana maana nahusishwa sana na maisha yao..

Pili, sema kwa haki yako ule mufaka baina ya CUF na CCM kweli ulikuwa unakubalika Kikatiba na Kisheria?.. hapana na sababu ziko wazi kwamba makubaliano hayo yamefanyika kabla hata ya Uchaguzi kuunda serikali ya Mseto jambo ambalo ktk utawala wa demokrasia hakuna. Vyama viwili vinavyoshindana haviwezi kufanya maamuzi ya kushare utawala bila kuungana kabla ya uchaguzi na kupanga matokeo.. Pia inavunja kanuni nyingi ambazo vyama vingine vya Upinzani havikushirikishwa, rais wa Jamhuri hiyo sii mkazi wa Zanzibar lakini aligombea Urais... Makosa ni mengi mno lakini yote haya hayana uzito zaidi ya kuunda serikali ya mseto kwa vyama kabla ya uchaguzi mkuu na vikagombea kama vyama tofauti japokuwa wameisha kubaliana na kupanga matokeo.. sababu zinazotumika ni kuiokoa Zanzibar na mfarakano lakini ukweli ni kwamba vita haikuwa ya wananchi bali vyama CCM na CUF na kilichookolewa na vyama sio wananchi..

Ndivyo hivyo hivyo Upendeleo wa muafaka huu ambao unasema wazi hivi:-
Determined to chat out a common action for both the Government and the Churches in the development of social services with a view to finance, coordinating, organising, Improving, expanding and rehabilitating these services for the well being of Tanzania people through the establishment of Appropriate Institutions..

Haya ni mamlaka ya wizara ndani ya seriikali sasa yanapokuwa shared na vyombo viwili huoni tatizo? Maelezo haya yanaonyesha wazi jinsi kanisa lilivyoingia ndani ya wizara za serikali na kuwa chombo (idara) ambacho kinahusika na maswala yote ya Elimu na Afya hadi kupewa nguvu ya kushiriki kuunda Institutions zitakazo husika..

Huu ni muafaka wa serikali ambayo inaamini serikali haina dini isipokuwa wananchi wake lakini wanaunda Ubia na chombo cha kidini kuunda wizara hizi!...Sasa sielewi wewe huwa unaelewa serikali kuwa na dini ni pale watakapo vaa msalaba au kibaraghashia ndio utaelewa!
 
Lakini CDM katika kupinga ufisadi haiangalii dini ya mtu. ndio maana katika list of shame wakristu pia wapo.
Leo unakiri ufisadi CCM upo na wapo waliosababisha, mbona unakuwa kama wabunge wa Dar(ambao hoja za ufisadi serikalini unaoathiri wananchi wao hawakutani na kutoa matamko ukiondoa wale wa CDM ). CCM iwashughulikie basi hata kama ni wakristu. Fisadi ni Fisadi tu, na ufisadi hauna ukristu wala uislam dini ya fisadi ni CCM.

Mkuu Nchitu,
Bahati mbaya umekuta mdajadala umefika mbali na baadhi ya post zimefutwa na Mods baada ya jukwaa kuchafuka..

Hiyo post yangu nilikuwa namjibu muhuni mmoja saizi anachezea Ban.
 
Guys, as you have seen your giving us more work than necessary; next time somebody bring some religious bigotry and inuendos he/she will suffer an extended ban! We can't keep going through each post as if we are monitoring kindergaten kids!
 
lahaula..!! kweli kweli, ninakusemehe bure kwani siyo kosa lako kutokuwa na elimu

ni kosa la mashehe kukupatieni ilimu chafu ya chini ya bahari..

Elimu ya mashakhe niliipata tena ya uhakika kipofu kama wewe utaonaje usafi kilicho chini y a bahari? Nachelea nisije nikaitwa limbukeni kujibishana na punguani kama wewe, huo ukristo wenyewe inaonekana hujui unafuata mkumbo tu, hivi unaelewa hata kilichoandikwa ndani Biblia?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Hivi mkuu wangu unafanya makusudi au?...ama kwa sababu siusi tumesimama upande wa pili ndio basi inakuwa swala la Waislaam. Mbona Lowassa hafikishwi mahakamani na wewe ni mmoja wa watu wanaolalamika sana na kashfa za Richmond, Mkapa na EPA na wengine wote sasa maadam hawajashtakiwa ama kufikishwa mahamani inapoteza uharamu wa vitu hivyo..
Simple nenda kasome katiba inaposema serikali yetu haina dini isipokuwa wananchi wake kisha nenda kasome muafaka huu wa MoU utaona kunavyojichanganya..

Utafanya vipi utafiti vijijini ikiwa hospital iliyoko ni moja tu nayo ni ya kanisa? utalinganisha na kitu gani...hao wengine ni wauza madawa tu Phamacy tena wanauza madawa feki, na hizo unazozungumzia ni zahanati wala sio Hospital..na huwaambia wagonjwa wakanunue dawa Phamacy kisha warudi kutibiwa ni ushenzi mtupu. Mkuu familia yangu tunatoka shamba vijijini, nalijua joto la jiwe vizuri sana maana nahusishwa sana na maisha yao..

Pili, sema kwa haki yako ule mufaka baina ya CUF na CCM kweli ulikuwa unakubalika Kikatiba na Kisheria?.. hapana na sababu ziko wazi kwamba makubaliano hayo yamefanyika kabla hata ya Uchaguzi kuunda serikali ya Mseto jambo ambalo ktk utawala wa demokrasia hakuna. Vyama viwili vinavyoshindana haviwezi kufanya maamuzi ya kushare utawala bila kuungana kabla ya uchaguzi na kupanga matokeo.. Pia inavunja kanuni nyingi ambazo vyama vingine vya Upinzani havikushirikishwa, rais wa Jamhuri hiyo sii mkazi wa Zanzibar lakini aligombea Urais... Makosa ni mengi mno lakini yote haya hayana uzito zaidi ya kuunda serikali ya mseto kwa vyama kabla ya uchaguzi mkuu na vikagombea kama vyama tofauti japokuwa wameisha kubaliana na kupanga matokeo.. sababu zinazotumika ni kuiokoa Zanzibar na mfarakano lakini ukweli ni kwamba vita haikuwa ya wananchi bali vyama CCM na CUF na kilichookolewa na vyama sio wananchi..

Ndivyo hivyo hivyo Upendeleo wa muafaka huu ambao unasema wazi hivi:-
Determined to chat out a common action for both the Government and the Churches in the development of social services with a view to finance, coordinating, organising, Improving, expanding and rehabilitating these services for the well being of Tanzania people through the establishment of Appropriate Institutions..

Haya ni mamlaka ya wizara ndani ya seriikali sasa yanapokuwa shared na vyombo viwili huoni tatizo? Maelezo haya yanaonyesha wazi jinsi kanisa lilivyoingia ndani ya wizara za serikali na kuwa chombo (idara) ambacho kinahusika na maswala yote ya Elimu na Afya hadi kupewa nguvu ya kushiriki kuunda Institutions zitakazo husika..

Huu ni muafaka wa serikali ambayo inaamini serikali haina dini isipokuwa wananchi wake lakini wanaunda Ubia na chombo cha kidini kuunda wizara hizi!...Sasa sielewi wewe huwa unaelewa serikali kuwa na dini ni pale watakapo vaa msalaba au kibaraghashia ndio utaelewa!

Gratitude of a Donkey is kick...
 
Na baadhi ya wasema kweli wamepigwa ban
Mkuu tatizo letu sisi hatufahamu mapana ya Uhuru tulopewa hapa JF na kuna ujinga fulani wa kusema unapomtukana mtu na ukweli ikubaliwe kwa sababu unajieleza mawazo yako.. Kama ingekuwa hivyo Marekani wasingepiga marufuku kisheria kumwita mtu mweusi - Nigger maana hata huyo mzungu anatowa mawazo yake..

Tuwe wavulimivu, Tujiheshimu kwanza sisi wenyewe ili tupate kuheshimika na wengine maana usipo jiheshimu wewe mwenyewe matokeo yake ndio haya ya kutoheshimiwa..Kila kitu kina mipaka yake, hatuna sababu ya kuingiliana ktk dini zetu na kikubwa tukumbuke - Yale uloyaona ni mabaya ktk Uislaam au Ukristu ndio sababu zilikufanya wewe usiwe dini hiyo!. Ukifikiria hilo tu inatosha huna sababu ya kumtukana mtu mwingine kwa sababu ya imani yake..
 
Je una uhakika wa unachokisema.
Je unaijua Mou yenyewe na unajua kanisa linakwapua kiasi gani toka katika Serikali masikini ya Tanganyika.

MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Fisadi EL. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .

Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.

Jiulize kama Serikali ingekuwa kila mwaka kutokana na pesa hizo ingekuwa inajenga hospitali 2 na labda chuo kimoja na secondari 3. Je sasa ingekuwa imefikia wapi?

Kwanini wazidi kukodi kwa kanisa? Kwa mwenye akili timamu atajiuliza kama kanisa waliweza kujenga kwanini washindwe kuviendeleza?

Kanisa halijashindwa wewe wa wapi wewe! Kanisa linaweza ila nyinyi ndio hamtoweza gharama zake. Sasa serikali kwa kutambua kuwa kuna maskini wasioweza kutibiwa kwa gharama kubwa ndio wakachukua jukumu la kugharamia na kusimamia. Nyinyi mnaoongea hapa mpk mapovu yanawatoka hamna mnachojua kuhusu hali za huko vijijini, wengi wenu mnaishi tandale na buguruni. Kinachofanyika ni kama hizi hospitali zimetaifishwa. Shida ni kwamba anayewatafsiria kilichoandikwa na kwa nini kimefanyika hajafika hata form 2.

Ni shida ya kuongozwa na watu wasioenda shule. Kila siku tunafungua vyuo vikuu na maabara za kisasa, hayo hamuyaoni kazi tu kusema ooh Lowassa kachangia mamilioni ya kifisadi kwenye harambee ya kanisa, mara ooh Sumaye anajipendekeza kanisani. Mbona na nyinyi msijengeane shule na huduma za jamii badala yake fedha mnatumiwa kufadhiliwa kuwa magaidi? Kusoma hobby bana na nyie sio hobby yenu. Poleni!
 
Mkuu unaona sasa.. Unaposema NYINYI ina maana unawaondoa waislaam ktk Watanzania na sababu ni hii hii ya MoU imekufanya wewe useme NYINYI ukiwatenganisha waislaam na watu wengine..Elewa kanisa ni kitu kingine na wakristu ni watu hivyo tunapopinga muafaka wa serikali na kanisa tunatofautisha watu wenye dini yao na chombo hiki. Na wewe mkuu unapingana na watu watanzania wenzako unawaita NYINYI...
 
Mimi nafikiri kukata mzizi wa fitina serikali ivunje hiyo MoU na kanisa. Na kwa kuivunja hiyo MoU serikali ilifidie kanisa Tsh 100 bilioni (kama lilvyofanya Richmond). Waislamu tunaomba msilalamike maana ni ujinga wa serikalli yenu iliyoingia hiyo MoU. Na baada ya kuvunja hiyo MoU Waislamu wakienda kupata huduma kwenye taasisi za Kikristu, wachangie maradufu ya wakristu ili watie akili vichwani mwao, aidha waishinikize serikali au BAKWATA iwajengee mahopitali na mashule ya kutosha. TAHADHARI msianze kuwafadhili Boko Haram na Al Shabaab kulipua hizo institutions za kikristu kwasababu ya husda baada ya nyinyi kushindwa kujenga za kwenu.

Baada ya kusema hayo turudi kwenye maada, Bado ninajiuliza busara za hao viongozi wa kiislamu walioshangilia sheria ya mabadiliko ya katiba iko wapi?! Kwa elimu ndogo tu mimi ninafikiri wao ndiyo wangekuwa mfano wa kuitii hiyo sheria, lakini ajabu wao ndiyo sasa wanakuwa nambari one wa kutaka kuivunja, i.e kuandaa makongamano ya katiba ambao yamekatazwa katika sheria hiyo na kutolewa adhabu yake.

Je hapa wakikamatwa na kufungwa napo watalalamika kwamba wanabaguliwa na mfumo Kristu?! Na hapa ndio ninapomkumbuka FF aliposema kwamba kwa Waislamu uislamu ni kwanza nchi inafuata baadaye. (BTW FF hivi Iran nchi ya Kiislamu ikipigana vita na Tanzania Secular wewe utapigania upande gani?) Sasa msije lalamika kwasababu mliunga mkono hiyo sheria kwasababu ya UISLAMU (read JK) masilahi ya nchi mkayaweka pembeni. Hiyo dhambi sasa itaanza kuwatafuna, the writting is already on the wall. Msifikiri JK ana mawazo kama ya FF yeye kwake ni CCM kwanza, nchi second and third ni UISLAMU ndiyo maana amesaini MoU na kanisa! Kalaghabaho!
 
Mkuu tatizo letu sisi hatufahamu mapana ya Uhuru tulopewa hapa JF na kuna ujinga fulani wa kusema unapomtukana mtu na ukweli ikubaliwe kwa sababu unajieleza mawazo yako.. Kama ingekuwa hivyo Marekani wasingepiga marufuku kisheria kumwita mtu mweusi - Nigger maana hata huyo mzungu anatowa mawazo yake..

Tuwe wavulimivu, Tujiheshimu kwanza sisi wenyewe ili tupate kuheshimika na wengine maana usipo jiheshimu wewe mwenyewe matokeo yake ndio haya ya kutoheshimiwa..Kila kitu kina mipaka yake, hatuna sababu ya kuingiliana ktk dini zetu na kikubwa tukumbuke - Yale uloyaona ni mabaya ktk Uislaam au Ukristu ndio sababu zilikufanya wewe usiwe dini hiyo!. Ukifikiria hilo tu inatosha huna sababu ya kumtukana mtu mwingine kwa sababu ya imani yake..
Nimeshaona mara nyingi ukikashifu ukristo na hata kwenye hii thread umelifanya hilo. Silencer ametumia kipimo gani kuwa ban watu wengine na kukuacha wewe wakati mlikuwa mnafanya dhambi ileile? Kuna upendeleo maalum JF?
 
Kanisa halijashindwa wewe wa wapi wewe! Kanisa linaweza ila nyinyi ndio hamtoweza gharama zake. Sasa serikali kwa kutambua kuwa kuna maskini wasioweza kutibiwa kwa gharama kubwa ndio wakachukua jukumu la kugharamia na kusimamia. Nyinyi mnaoongea hapa mpk mapovu yanawatoka hamna mnachojua kuhusu hali za huko vijijini, wengi wenu mnaishi tandale na buguruni. Kinachofanyika ni kama hizi hospitali zimetaifishwa. Shida ni kwamba anayewatafsiria kilichoandikwa na kwa nini kimefanyika hajafika hata form 2.

Ni shida ya kuongozwa na watu wasioenda shule. Kila siku tunafungua vyuo vikuu na maabara za kisasa, hayo hamuyaoni kazi tu kusema ooh Lowassa kachangia mamilioni ya kifisadi kwenye harambee ya kanisa, mara ooh Sumaye anajipendekeza kanisani. Mbona na nyinyi msijengeane shule na huduma za jamii badala yake fedha mnatumiwa kufadhiliwa kuwa magaidi? Kusoma hobby bana na nyie sio hobby yenu. Poleni!

Sasa labda nikuulize, Ni bora kwa serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa au kujenga hospital na skuli na vyuo vyake wenyewe?

Kumbuka Bilioni 91 wanazokwapua kanisa kila mwaka zinatosha kabisa kujenga district Hospital kama Amana 3 na skuli 3 na Chuo 1 . sasa julize kama wangejenga hivyo sasa mngekuwa wapi?

Hata siasa za Nyerere zilikuwa ni siasa ya kujitegemea na sio tegemezi.

Fikiri kwanza.
 
Mimi nafikiri kukata mzizi wa fitina serikali ivunje hiyo MoU na kanisa. Na kwa kuivunja hiyo MoU serikali ilifidie kanisa Tsh 100 bilioni (kama lilvyofanya Richmond). Waislamu tunaomba msilalamike maana ni ujinga wa serikalli yenu iliyoingia hiyo MoU. Na baada ya kuvunja hiyo MoU Waislamu wakienda kupata huduma kwenye taasisi za Kikristu, wachangie maradufu ya wakristu ili watie akili vichwani mwao, aidha waishinikize serikali au BAKWATA iwajengee mahopitali na mashule ya kutosha. TAHADHARI msianze kuwafadhili Boko Haram na Al Shabaab kulipua hizo institutions za kikristu kwasababu ya husda baada ya nyinyi kushindwa kujenga za kwenu.

Baada ya kusema hayo turudi kwenye maada, Bado ninajiuliza busara za hao viongozi wa kiislamu walioshangilia sheria ya mabadiliko ya katiba iko wapi?! Kwa elimu ndogo tu mimi ninafikiri wao ndiyo wangekuwa mfano wa kuitii hiyo sheria, lakini ajabu wao ndiyo sasa wanakuwa nambari one wa kutaka kuivunja, i.e kuandaa makongamano ya katiba ambao yamekatazwa katika sheria hiyo na kutolewa adhabu yake.

Je hapa wakikamatwa na kufungwa napo watalalamika kwamba wanabaguliwa na mfumo Kristu?! Na hapa ndio ninapomkumbuka FF aliposema kwamba kwa Waislamu uislamu ni kwanza nchi inafuata baadaye. (BTW FF hivi Iran nchi ya Kiislamu ikipigana vita na Tanzania Secular wewe utapigania upande gani?) Sasa msije lalamika kwasababu mliunga mkono hiyo sheria kwasababu ya UISLAMU (read JK) masilahi ya nchi mkayaweka pembeni. Hiyo dhambi sasa itaanza kuwatafuna, the writting is already on the wall. Msifikiri JK ana mawazo kama ya FF yeye kwake ni CCM kwanza, nchi second and third ni UISLAMU ndiyo maana amesaini MoU na kanisa! Kalaghabaho!

Sio uangalie upande mmoja tu. Angalia pia misamaha wanayopata makanisa haya. nayo unasemaje?

Jiulize kama Serikali ingekuwa na Hospitali zake na shule zake kwa pesa hizo walizokwapua kanisa tokea 1992. Je kuna sababu gani mtu kwenda hospitali au skuli au chuo cha kanisa? hiyo itakuwa anasa.

Na pasi na shaka yoyote vitafungwa kwa kukosa watumiaji.

Ni vizuri serikali yenu ijivunie kitu chake na sio cha kukodi/kupanga. Huo ni upunguani?

Jiulize tokea uhuru wenu 1961 mpaka 1992 Serikali yenu ilipoingia MoU na kanisa wananchi waliishi vipi?

Hivi mkuu wangu unafanya makusudi au?...ama kwa sababu siusi tumesimama upande wa pili ndio basi inakuwa swala la Waislaam. Mbona Lowassa hafikishwi mahakamani na wewe ni mmoja wa watu wanaolalamika sana na kashfa za Richmond, Mkapa na EPA na wengine wote sasa maadam hawajashtakiwa ama kufikishwa mahamani inapoteza uharamu wa vitu hivyo..
Simple nenda kasome katiba inaposema serikali yetu haina dini isipokuwa wananchi wake kisha nenda kasome muafaka huu wa MoU utaona kunavyojichanganya..

Utafanya vipi utafiti vijijini ikiwa hospital iliyoko ni moja tu nayo ni ya kanisa? utalinganisha na kitu gani...hao wengine ni wauza madawa tu Phamacy tena wanauza madawa feki, na hizo unazozungumzia ni zahanati wala sio Hospital..na huwaambia wagonjwa wakanunue dawa Phamacy kisha warudi kutibiwa ni ushenzi mtupu. Mkuu familia yangu tunatoka shamba vijijini, nalijua joto la jiwe vizuri sana maana nahusishwa sana na maisha yao..

Pili, sema kwa haki yako ule mufaka baina ya CUF na CCM kweli ulikuwa unakubalika Kikatiba na Kisheria?.. hapana na sababu ziko wazi kwamba makubaliano hayo yamefanyika kabla hata ya Uchaguzi kuunda serikali ya Mseto jambo ambalo ktk utawala wa demokrasia hakuna. Vyama viwili vinavyoshindana haviwezi kufanya maamuzi ya kushare utawala bila kuungana kabla ya uchaguzi na kupanga matokeo.. Pia inavunja kanuni nyingi ambazo vyama vingine vya Upinzani havikushirikishwa, rais wa Jamhuri hiyo sii mkazi wa Zanzibar lakini aligombea Urais... Makosa ni mengi mno lakini yote haya hayana uzito zaidi ya kuunda serikali ya mseto kwa vyama kabla ya uchaguzi mkuu na vikagombea kama vyama tofauti japokuwa wameisha kubaliana na kupanga matokeo.. sababu zinazotumika ni kuiokoa Zanzibar na mfarakano lakini ukweli ni kwamba vita haikuwa ya wananchi bali vyama CCM na CUF na kilichookolewa na vyama sio wananchi..

Ndivyo hivyo hivyo Upendeleo wa muafaka huu ambao unasema wazi hivi:-
Determined to chat out a common action for both the Government and the Churches in the development of social services with a view to finance, coordinating, organising, Improving, expanding and rehabilitating these services for the well being of Tanzania people through the establishment of Appropriate Institutions..

Haya ni mamlaka ya wizara ndani ya seriikali sasa yanapokuwa shared na vyombo viwili huoni tatizo? Maelezo haya yanaonyesha wazi jinsi kanisa lilivyoingia ndani ya wizara za serikali na kuwa chombo (idara) ambacho kinahusika na maswala yote ya Elimu na Afya hadi kupewa nguvu ya kushiriki kuunda Institutions zitakazo husika..

Huu ni muafaka wa serikali ambayo inaamini serikali haina dini isipokuwa wananchi wake lakini wanaunda Ubia na chombo cha kidini kuunda wizara hizi!...Sasa sielewi wewe huwa unaelewa serikali kuwa na dini ni pale watakapo vaa msalaba au kibaraghashia ndio utaelewa!
Mambo ya Lowasa, Mkapa, EPA yasiwe sababu ya nyinyi kushindwa kufungua kesi. Watanzania wangekuwam na mentality hiyo wasingeenda mahakamani kudai haki zao.
Kuhusu kuvunja katiba nilitegemea ungekuja na kipengele kinachoizuia serikali(isiyo na dini) kushirikiana na Taasisi za dini. Mimi nadhani ingevunja katiba kama ushirikiano huo wa serikali na taasisi za dini ungekuwa ni wa kutoa huduma kwa wa WAKRISTO TU na si kwa watanzania wote. Hivi mkuu , kabla ya MoU kusainiwa serikali ikuwa haishirikiani na vyombo dini? Nisaidie kwa hili...mbona sisikii mkipiga kelele kuhusu kile chuo mlichokianzisha cha kiislam Morog oro ambacho majengo ya tanesco na kiwanja chake mlipewa bure kabisa na Mkapa... Huo tuuite ufisadi au ? Kuna makubaliano/mkataba yeyote hapo au ilikuwa ni zawadi tu? Hivi mkikirudisha hiki chuo serikalini na wakristo wakaachiwa waendeshe taasisi zao si waislamu ndiyo watakaoathirika zaidi na chuki hii tunayoiona kwa Ukristo itaongezeka maradufu!?. Ninachokiona hapa ni kwamba viongozi wenu wa dini iwe wa misikiti au taasisi nyingine hawana know-how ya kuanzisha na kusimamia projects hizi za jamii kama wanavyofanya Christians ndiyo maana wanabaki kulalamika tu na kuchochea chuki kwa ukristo. Tusubiri hilo kongamano litazaa nini maana yamebaki si masaa mengi
 
Already tumeambia ni Waislaam wanazindua Jukwaa la Katiba. Hapa mimi ninachokifahamu wanaotakiwa kufika hapo lazoma wawe waislaam, tofauti na Watanzania wanazindua jukwaa la Kaitba, hiyo ina maana watu wote bila kujali itikadi zao, rangi, dini, kabila, wasomi, wachawi, waswezi, fisadi, majambazi , wanawake , wanaume, wakulima wafanyakazi , wajinga, waliwao, mabwanyenye watu wa aina yote ambao ni raia wa Tanzania. Sijafahamu kwa undani katiba ya wanyamwezi na ya wagogo itakuwa tofauti? au ya wasambaa na ya Waislaam itakuwa tofauti? YA MWARABU NA MHINDI ITAKUWA NA MAHAKAMA ZAKE TOFAUTI? Ya wamyamwezi na wasukuma itakuwa na mahakama za MASUMULE?
 
Hapana! Barubaru wewe mtazamo wako si wa kiuchumi zaidi. ni wa kidini zaidi. Takwimu unazotoa hapa ni za mwelekeo wa dini kuliko uchumi, endapo ingekuwa uchumi ungesema kuwa hakuna sababu serikali kuendesha huduma hizo isipokuwa za msingi - primary health care, primary education na kujenga miundombinu kisha wenye uwezo (watu binafsi, makampuni na dini zifanye biashara).Kama ungekuwa mtazamo wa kiuchumi zaidi ungeongelea zaidi ubora/quality ya huduma za afya kwa vituo vya dini ukilinganisha na vile vya serikali. ungeongelea nidhani ya kazi kwa wafanyakazi kwenye vituo vya dini ukilinganisha na vile vya serikali. Kwa bahati mbaya zaidi hoja ilikuwa ya mkutano na imetoka huko na kuwa ni mjadala ya kidini. Swali hapa ni je agenda ya mkutano wa ijumaa ni MoU au katiba na vitu gani viwepo/visiwepo kwenye katiba>

Labda nikuulize.

Je nikuulize ja unaona ni busara Serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa? kwa kukodi facilities zake na sio Serikali kujenga facility zake yenyewe?

Je unafahamu Bilioni 91 wanazopewa kanisa kila mwaka zingetosha kabisa kujenga hospi kwa lavel ya wilaya 3, skuli form one mpaka six 3 na chuo kimoja. Na tokea MoU hiyo ilipoanza 1992 mpaka leo serikali ingekuwa na hospital zake 51, skuli 51 na vyuo 17 kuzunguka nchi nzima.

Je unafurahia serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa?

Mkuu hayo mahesabu yako hapo juu nadhani umeyafanya ukiwa kwenye kashata na kahawa.
Hebu tupe kitu kamili kama:- costs za ku plan/kujenga miundombinu ya shule/chuo/hospitali . costs za kununua vifaa kama vitabu, projectors , vifaa vya labs/upasuaji, vifaa vya kutunza madawa pamoja na gharama ya dawa zenyewe. Gari la wagonjwa . Costs za ku maintain majengo na vifaa vyote kwa mwaka . Costs za mishahara nk nk. Ukiweza kugawanya gharama zote hizo kwenye hizo 91BN halafu u kapata idadi ya shule ,vyuo na hospitali hiyo, wewe utakuwa ni mtaalam kweli lakini najua huwezi kwa sababu hujui jinsi hivyo vitu vinavyoendeshwa .
 
Sasa labda nikuulize, Ni bora kwa serikali yenu kuwa tegemezi kwa kanisa au kujenga hospital na skuli na vyuo vyake wenyewe?

Kumbuka Bilioni 91 wanazokwapua kanisa kila mwaka zinatosha kabisa kujenga district Hospital kama Amana 3 na skuli 3 na Chuo 1 . sasa julize kama wangejenga hivyo sasa mngekuwa wapi?

Hata siasa za Nyerere zilikuwa ni siasa ya kujitegemea na sio tegemezi.

Fikiri kwanza.

Ndio shida ya kurukia mambo yasiyokuhusu. Nashukuru leo nimejua kuwa wewe sio mTanzania ila unachochea tu magomvi ya kidini kwa manufaa ya shetani aliyekutuma. Nani aliyesema kuwa serikali haina nia ya kujenga hospitali zake? Kama unaona serikali haijengi hospitali, basi ni kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufanya hivyo kwa wakati. Hebu niambie kwa kutumia hizo hizo akili zako ulizotumia kuandika hapa juu: Kwa kipindi ambacho serikali itasitisha kutoa 91bn kugharamia dawa na gharama za uendeshaji kwenye MoU, wananchi wanaotibiwa kwenye hospitali hizo watakuwa hawaumwi mpk ujenzi wa hospitali za serikali ukamilike au wafe tu?

Shida yako ni kuleta ushabiki kwenye jambo ambalo linahitaji sera. Pamoja na kanisa kujitahidi kufikisha huduma kwa jamii zilizopo mbali na huduma, hilo halijafanikiwa kwa kuwa Tanzania ni kubwa na idadi ya watu inaongezeka kila leo. Kwa hiyo ukiwa na akili hata kidogo utaona kuwa serikali hata ikiwa na uwezo wa kujenga hospitali, basi itajenga kwanza ktk maeneo yale ambayo hayana hata za kanisa na sio kuanza ku-replace za kanisa kwa kuwa tu kuna watu ambao kwao elimu na hekima ni tatizo kwa hiyo hawataki. Ikajenge Hospitali mpya pembeni ya Teule Mission Hospital au ikajenge zahanati Mafia ambako hakuna hata moja ya maana sbb kanisa halijafika huko?

Naomba nikupe mfano wa hai wa tatizo lenu la kiitikadi: (tafadhali soma kwa makini na zingatia kuwa natumia muda wangu ili tu uelewe): Jana hapa hapa JF ktk moja kati ya THREAD lukuki za Malaria Sugu kuna moja ilikuwa inazungumzia matatizo ya uongozi ya kisiwa cha Mafia. Kama kawaida Uislamu kuonewa haukukosekana ndani ya uzi huu (as far as Malaria Sugu was the author), na matatizo mengine lukuki in form of manung'uniko kama ilivyo kawaida. Ipo sehemu ktk huo uzi inayoshutumu uongozi wa kisiwa kugawa kiwanja kwa kanisa bila kuzingatia kuwa 99.9% ya wakazi wa Mafia ni Waislamu.

Sasa turudi kwenye My Perspective: Kisiwa cha Mafia kinakaliwa na Waislamu (kwa mujibu wa Malaria Sugu), na ni dhambi kwa kanisa kupewa kiwanja huko. Kisiwa cha Mafia hakina maendeleo, na huu ni ukweli. Sasa tujiulize jambo: Kuna misikiti mingapi na madrassa Mafia? Tunaposema kuwa hamna utashi wa kufanya mambo ya maendeleo siku zote huonekana tunawatukana au kuwaonea. Lkn wkt jana MS anaongea ujinga hapa, alijiona labda ndio anajua saana solution ya matatizo ya Mafia. Sasa amini nawaambia, kama KANISA litaingia Mafia (kama MS hatazuia kanisa kupewa kiwanja), basi ni suala la wakati tu, utaona Zahanati na Shule ya Ufundi mahali hapo. Hiyo ndio namna kanisa hufanya mambo yake.

Najua badala ya kutafakari utarukia mwenye kubisha lkn acha nikwambie: Ukiwa Mafia, kama ukapatwa na serious health problem, kimbilio ni Zahanati ya Mission ya Mchuki. Mchuki si kisiwani bali ni huku Ikwiriri (Rufiji) na inamilikiwa na Kanisa la Pentekoste. Mchuki haipewi ruzuku (Mou) lkn inategemewa na watu hadi wa nje ya Rufiji km Mafia hadi Kilwa. Ndio hospitali inayoongoza hapa nchini kwa kufanya operation za mabusha. Sioni kama kuna utashi wa viongozi wa dini ya kiislamu (huko Mafia) wa kuona waumini wao wanaishi maisha yenye ufani. Na hii ni kwa sababu elimu ipo nyuma kwao. Sasa nyinyi mliopo nje ya nchi badala ya kuwasaidia mawazo na tija waislamu wa hapa, nyie mnatumia fursa ya kuwa kwao nyuma kiufahamu kuleta manung'uniko na chuki.

Mimi sijui wewe ni wa nchi gani lkn naaamini una nchi ulikotoka au kama uko Qatar ndio kwenu, basi fanyeni mambo yatakayoupa uislamu sura ya dini yenye kuleta maendeleo na sio manung'uniko. Jamii za kiislamu hutambulika kirahisi kwa ID ya ufukara na ujinga badala ya tija na maendeleo, na kisiwa cha Mafia ni mfano. Ufadhili mnaoutoa kujenga misikiti, madrassa na ugaidi ungepanuliwa kidogo na kufadhili huduma za jamii pia. Hii itawajengea Waislamu wa Tanzania utamaduni wa kupenda elimu na maendeleo badala ya mafundisho ya chuki mnayoyagharamia sasa.

Na pia nikuombe, Mambo ya Tanzania tuachie watanzania wenyewe ikiwa huna nia ya kusaidia.
 
ukweli ndiyo huo hata kama ni mchungu kama mwarobaini...wenzetu waislam hawana utashi wa kuanzisha mambo ya kimaendeleo...!
 
Back
Top Bottom