Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,236
Imekuwa ikitokea kila waislamu waendapo hija huko macca watu wanakufa hovyo eti kwa kukanyagana kutokana na wingi wa wahujaji.Ninacho jua ni kwamba hija ni mahali pa kujitakasa lakini kwa nini watu wanakufa kila hija.Taarifa zilizopo ni kwamba mpaka leo watanzania wawili wameshafariki na inawezekana idadi ikaongezeka...........
Jamani hapo pana hija kweli?
Jamani hapo pana hija kweli?