Waislamu watakiwa kutokushiriki ktk maandamano ya amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislamu watakiwa kutokushiriki ktk maandamano ya amani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Mar 4, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Waislamu nchini wameonywa kutokushiriki katika maandamano ya CHADEMA kwani yanahatarisha amani ya nchi.

  Source: Radio Imani

  My take:

  Wana JF ktk nchi yetu huwa siwaelewi waislamu (baadhi) kwa sababu CHADEMA wanachofanya ni kutoa elimu ya uraia na pia kupeleka ujumbe kwa serikali juu ya hali ngumu ya maisha ila ndugu zetu waislamu wapo kinyume ina maana wao wana maisha mazuri ama wanatumiwa na CCM?


  Nawasilisha hoja.
   
 2. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  wanaosema hivyo wanatumia mgongo wa dini...achana nao,kwani kwa kiasi kikubwa waslam ndiyo wanumia kulinganisha na wakristo,anagalia mikoa ya Rukwa,Mtwara,Kigoma,Lindi Zanzibar,Tanga ambako kuna idadi kubwa ya waslam.wengi wao hawapendi kujishughulisha kutwa kushinda kucheza bao..na maongezi ya vijiweni.Wakristo kupitia makanisa bado wanajumuia ndogo ndogo za kusaidiana na kukupeshana.

  HILO WANALO!!1
   
 3. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wala hatuwahitaji, hata hivyo hawana impact yoyote kwa wananchi walio wengi
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  WAISLAM walio CDM wamejidhihirisha kuwa ni wanaharakati wapambanaji kama ZITTO,HALIMA,AFRI.MUSTAPHA Mbulu.
  CDM haiitaji kuwapigia magoti wengine na hata waliopo kama wakiona zengwe waondoke kwani JK alianzisha udini during kampeni.

  JK ni rais kimeo sana kwa hiyo anataka ajifiche kwenye pazia la udini.
  Nawasihi waislam waendelee na swala zao na maoni yao.

  Hiyo redio ndiyo iliyodai waislam wamefelishwa form four 2010 sasa hapo unategemea nini?tena iliongeza mabomu yalilipuliwa mbagala na maofisa wakristo jeshini watiifu wa CDM eneo lenye wakazi wengi waislam kimakusudi ili kuwauwa.

  JK at work, well shutuma za udini ziliisaidia CUF kukua huko Zanziba,Bara shutuma za udini CDM zikiwaingia wanainchi mioyoni zitaisaidia CDM maradufu.
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nawashangaa waislam. ingekuwa kauli imezungumzwa na kiongozi wa kikristo kuwaambia waumini wasishiriki maandamano ya ccm wangesema wanajihusisha na siasa. ila wao wakizungumza sio siasa. ccm itajuta maana hawa wanamuunga kikwete mkono kwa vile mwislam si ccm. ccm ikija kuongozwa na mkristo hutawaona
   
 6. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ila sisi sote ni wamoja inamaana wanaona hali ngumu ya maisha ni wakristo tu? Hawa viongozi wetu wa kiislamu wanatupeleka pabaya.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tatizo wamekaa kidini zaidi, na viongozi wao wana bahati kwasababu huwa hawapati mtu critical wa kuwahoji kwa mfano waumini wa kiislam wana wajibu wa kuwauliza viongozi wao maandamano ya kanda ya ziwa yameathiri kwa kiasi gani amani ya kanda ya ziwa?
   
 8. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  DIVIDE and RULE is their only plan!
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Elimu ya uraia haitolewi kwa maandamano. Maandamano ni chachu ya kuanzisha uvunjifu wa amani haswa hayo maandamno yanapoashiria kufanya mapinduzi.

  Mapinduzi ya nini? Nani aliwaambia kuwa ukali wa maisha unapunguzwa kwa maandamano?

  Nasema, naunga mkono kiongozi yoyote anaepinga maandamano na waliosema wanapinga hayo maandamano si viongozi wa waIslaam pekee. Jee Cheyo ni muIslaam? Jee, Mrema ni muIslaam? Mbona wote hao hawataki haya maandamano na hujawataja? Au wewe ndie unaanzisha fitina za kidini?
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Huo ni ubunifu wa Kikwete wa tangu enzi za kampeni,lakini waislamu wenye akili timamu wameshakataa kutumiwa na CCM kwani wanaelewa kuwa athari za ufisadi unaolelewa na CCM hazichagui, wote tunaumia, bei za bidhaa zikipanda tunathirika wote, hakuna maduka wala masoko ya waislamu peke yao, mgao wa umeme hauchagui waislamu wala wakristo.
   
 11. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mrema na Cheyo ni CCM B, Hujui hawana vision
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  jamani tusiwajumuishe waislamu wote... radio imani ina agenda yake na pia ina wapenzi wake ambao si wengi na hata rai waliyoitoa haina mashiko

  tafadhali sana watanzania tusihukumiane bila busara.... je mnajua ni asilimia ngapi ya waislamu wanasikiliza radio imani????

  sanasana tunachofanya hapa ni kuipromote hiyo radio isiyo na nia njema kwa watanzania
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Cheyo hana jipya ameigeuza UDP taasisi binafsi ya kuingilia bungeni.Mrema ni mgonjwa wa kisukari hana ATP za kufikiria na hamna mtu anayetaka madaraka nchi hii kama Mrema, huyu angeupata urais asingeng'atuka kikatiba,Mrema alitaka JK ampe uwaziri hakupata akaponda baraza leo ni mwenyekiti wa kamati anamsifu JK.
  Kwa taarifa yako Mrema +Cheyo+Mbatia hawana influence ya kuwalinganisha na Diwani wa Sinza CDM. hata wakiongea kivipi hawana madhara.
   
 14. D

  Do santos JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tija ya maandamano nini? Yataondoa hali iliyopo? Mvua zitanyesha? Nyinyi ndo wadini mnamchukia jk kwa dini yake. Mmepiga kampeni za kumpinga kanisani nani asiyejua. Waislam hawaungi mkono kwa sababu malengo yenu ni ya kidini zaidi kuliko siasa. Kama nia yenu ni nzuri mbona hamtoe maoni ya kujenga au kumsaidia rais kufikia maisha bora.Acheni chuki za dini mtatuharibia nchi watanzania ni wamoja
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hao nao shida yao ni shule wapeni muda watafumbuka macho badae! Waendelee kula tende tu!!
   
 16. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hakika kaka Majimshindo umekumbusha point muhimu sana, Mtu yeyote ambaye akili yake imetekwa na kichwa cha slaa kuikubali moja kwa moja anahitaji Dua. CDM inaonekana ni genge la wasioipenda nchi yao, wenye uchu na madaraka, wanamlazimisha padre slaa afanye hata vile mafundisho ya imani yake yasivyotaka. watanzania walio wengi wanakushangaeni sana kwa mnayojifanyisha na hivyo ndio mnakiua chama. kuamini hivyo mtaona uchaguzi ujao mtakavyo anguka. Kwani wananchi hawana shida na maandamano yenu wala nyinyi hata mkikabidhiwa nchi msidhani mnaweza kuyamaliza matatizo ya watanzania. Kama nyinyi wazalendo toeni suport katika kila sehemu mnayoona serikali haijafanya ipasavyo siyo kulalamika na kuandamana.
   
 17. m

  mjombajona JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 262
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi ni muislamu safi lakini kauli za hii redio zisichukuliwe kama wote ndo tulivyo, hiki ni kikundi chenye shughuli yao maalum. Hivi kwa nini hii redio isifungiwe kwa kuchochea udini waziwazi? Tumeona hivi karibuni kule Arusha Wachungaji wa Kikristo wametiwa msukosuko na Polisi baada ya mapigano ya Wakristo na Waislamu na kudaiwa hao Wachungaji ndo chanzo, sasa hawa wanafanya watakavyo kila siku inakuweje hapo?
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  wewe unajiona umesoma sana sio, haya weka cv yako hapa. kisha jicheck mwenyewe kama unafanana na wasomi walioelimika ambao wanahitajika hapa Tz. au usiende mbali check michango yako yote unayoitoa humu Jf uone kama inafanana na ya msomi, then ndo uje kuwasema hawajasoma.
  Una uwezo wa kukalilishwa vitu na hauna uwezo wa kupambanua mambo in positive way. pole sana
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwa sifa hiyo tu tayari wewe si muislamu anayejitambua, kwani huujui uislamu. kama wewe muislamu taja sifa kumi za munafiki
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi najua kupambanua labda nikwambie ni kitabu gani kinachonifurahisha na kunisaidia maishani? samahan nomeirukia post ya mtu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...