Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 488
Huyu mufti ana elimu ya kusimamia shule za BAKWATA? Mufti awe Mufti miradi wapewe wenye taaluma kuisimamia.
Ni tawi la CCM mkuuKwani bakwata ni ya nani?!!
Lete ushahidi wa matokeo...acha kuropoka!Kiukweli tu Performance ya hizo shule iko chini mfano hii ya hapa Ubungo Muslim ufaulu wake uko chini sana
Hata sijui aiseeVipi Kinondoni kimbweru bado inakimbiza?!
Anhaa basi sawaUbungo Islamic? Kama ni hiyo, hiyo Si Mali ya BAKWATA!
SawaAcha kuropoka ubungo mualimu ipo ipc sio bakwata...
Elimu ahera ndio elimu ganiSisi waislam muhimu kwetu ni elimu ahera, wewe acha kutuchonganisha
Hata mimi ndivyo ninavyo jua Ubungo,kirinjiko,mudio na nyingine nyingi haziko bakwata na zinafanya vizuri.Acha kuropoka ubungo mualimu ipo ipc sio bakwata...
Elimu ahera ndio elimu gani
Umekaririshwa na nani kuwa kuna elimu ahera
Kama vile inafanya kazi kwenye mambo ya pesa?!Muwasomee albadir watakoma