Waislamu & Wakristo , kupendana - jibu chukua hapa . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislamu & Wakristo , kupendana - jibu chukua hapa .

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Oct 19, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Muslim & Christians together make up well over a half of the world's population.
  Without peace & justice between these two religions communities there can be no meaningful of peace in the world.

  We share the sentiment of the muslim signatories, expressed in these opening lines of their open letter.

  Peaceful relations between Muslim & Christians stand as one of the central challenges of this century!

  Conflicts and even wars in which Christians & Muslim stand against each other are not primarly religious in character !
  Hilo lipigie mstari.

  Peace between these two religious in the world , will clearly be easy to attain.
  The future of the world depends on peace between Muslim & Christians !
  Habari ndiyo hiyo.
  Hua si kawaida yangu kuingia kwenye dialogues za dini , na hasa ndicho kilichonifanya nijikitage hapa chtcht !
  But now dayz nimeanza kuona kasi ya mijadala ya dini hapa cc ikiongezeka!
  Na hii sredi nimeilenga kumjibu member alieleta Thrade hapa leo yenye headin "WAISLAMU WAWAPENDE WAKRISTO".
  Judgement
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Unaandika sana Kamanda na nishatoka Baa na niko Lindoni nitasoma kesho nikiwa soba,labda nikuulize tu,hivi ni kweli Madame B wanamuwowa,na nimeona mwalimu gfsonwin


  amemuandalia chiken party..??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mtakatifu ! Naona madame kakuchanganya hadi unam'mix kwenye thrade ya dini !
  Ngoja madame akipita hapa atafungua mwenyewe!
  Btw Pussy unaniharibia uzi mchakachuo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...