edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,869
- 9,663
Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzuni za Somalia ila za Palestina na wale wa Burma.